Skip to content

Adui Quote by Enock Maregesi

“Mfalme Sulemani alikuwa mtu mwenye hekima kuliko wote ulimwenguni. Anatushauri, “Adui yako akiwa ana njaa, mpe chakula; Tena akiwa ana kiu, mpe maji ya kunywa; Maana utatia makaa ya moto kichwani pake; Na BWANA atakupa thawabu (Mithali 25:21-22). Yesu anasema jambo fulani linalofanana sana na hilo…” quote by Enock Maregesi
Download Open image
““Mfalme Sulemani alikuwa mtu mwenye hekima kuliko wote ulimwenguni. Anatushauri, “Adui yako akiwa ana njaa, mpe chakula; Tena akiwa ana kiu, mpe maji ya kunywa; Maana utatia makaa ya moto kichwani pake; Na BWANA atakupa thawabu (Mithali 25:21-22). Yesu anasema jambo fulani linalofanana sana na hilo katika mafundisho Yake yaliyofuata (Mathayo 5:44-45). Kitendo cha kutukanwa, kupigwa, kushtakiwa au kulazimishwa kubeba mzigo mzito usio wa kwako kinaweza kusababisha mafutu mabaya kabisa katika asili ya binadamu. Yaani, chuki, hasira, ukatili na hata vurugu. Lakini pale wale waliobarikiwa kuwa na hekima wanapojikuta katika majaribu makubwa kama hayo tabia yao haitakiwi kuwa ya shari, inda au ya kulipiza kisasi. Bali inatakiwa kuwa ya kusaidia, kuwa na ridhaa ya kutenda mambo mema, na kuwa mwema kwa wengine siku zote.””

Enock Maregesi

About This Quote

Source Religious Teaching: Sermon on Proverbs 25:21‑22, 2021

Wisdom calls for feeding the hungry and thirsty, even enemies, to prevent hatred and violence.

In simple terms: Help even enemies to avoid hatred.

Key Takeaway

Practice compassion toward all, even adversaries.

Themes

compassion peace wisdom

Mood

hopeful serious

Type

spiritual philosophical

When to use this quote

  • conflict resolution
  • community service
  • interfaith dialogue
  • personal growth

Key Concepts

theology ethics

Questions to Reflect On

  • Can you extend kindness to an enemy?
  • What outcomes arise from feeding the hungry?
A Different Perspective

Human nature may resist helping foes.

3.0 out of 5 (3 ratings)

More by Enock Maregesi

Explore all 471 Enock Maregesi quotes

More Adui quotes

Browse all 8 Adui quotes