Skip to content

2012 Quote by Enock Maregesi

“Wanasayansi wanaamini kuwa Yesu atarudi tarehe 29 Julai 2016. Tarehe hiyo kitu kikubwa sana kitatokea katika dunia yetu kitakachosababisha tetemeko kubwa la ardhi, litakalosababishwa na kubadilika kwa ncha za dunia, tendo litakalosababisha mionzi ya gama kutoka kwenye jua ifike duniani na kuua…” quote by Enock Maregesi
Download Open image
““Wanasayansi wanaamini kuwa Yesu atarudi tarehe 29 Julai 2016. Tarehe hiyo kitu kikubwa sana kitatokea katika dunia yetu kitakachosababisha tetemeko kubwa la ardhi, litakalosababishwa na kubadilika kwa ncha za dunia, tendo litakalosababisha mionzi ya gama kutoka kwenye jua ifike duniani na kuua kila kitu kinachoonekana katika uso wa dunia hii. Watakatifu watafufuka na kumlaki Kristo mawinguni, ambaye anakuja kuwachukua wateule na kumweka Shetani kifungoni kwa miaka 1000. Hayo yote, wanasema, yatatokea ndani ya siku 11 kuanzia leo. Yaani, kusini mwa dunia kutakuwa kaskazini mwa dunia, kaskazini mwa dunia kutakuwa kusini mwa dunia. Kitendo hicho kitafanya dunia ikose kinga ya sumaku iitwayo ‘magnetosphere’ ambayo hukinga dunia dhidi ya mionzi ya gama kutoka kwenye jua. Mionzi hiyo hugonga ukuta wa ‘magnetosphere’ kila baada ya dakika 8 kwa mwendokasi wa kilometa milioni 1080 kwa saa; na kusambazwa katika ncha za dunia ambapo aghalabu huchanganyikana na oksijeni na kutengeneza kitu kinaitwa ‘aurora’, au mwanga wa ncha, ambacho ni maajabu mengine ya angani. Mwaka 2012 wanasayansi walisema ncha za dunia zingebadilika lakini hazikubadilika. Je, muda umefika sasa wa kuwaamini wanasayansi? Biblia ni chuo cha Mungu. Soma Biblia kupata maarifa.””

Enock Maregesi

About This Quote

Source Online post: Apocalyptic prediction, 2016

A claim that scientific predictions of a catastrophic event on July 29, 2016, are false, urging biblical faith over scientific skepticism.

In simple terms: Science says one thing, faith says another.

Key Takeaway

Question claims, seek truth.

Themes

faith science apocalypse skepticism truth

Mood

skeptical inquisitive

Type

philosophical informative

When to use this quote

  • religious study
  • critical thinking
  • media literacy

Key Concepts

prophecy magnetosphere aurora earth’s magnetic field

Questions to Reflect On

  • How do we evaluate extraordinary claims?
  • What role should faith play in interpreting science?
A Different Perspective

The prediction was proven false, highlighting misinformation.

3.7 out of 5 (7 ratings)

More by Enock Maregesi

Explore all 471 Enock Maregesi quotes

More 2012 quotes

Browse all 49 2012 quotes