Audience Quote by Enock Maregesi
““Majina ya vitabu yanapaswa kuchaguliwa kwa mantiki na kwa makini ya hali ya juu mno, kwa sababu ni miongoni mwa vitu vya kwanza watu wanavyoviona na kuvisoma. Watu wakivutiwa na jina la kitabu, au mwandishi; kitu cha pili watakachovutiwa kuangalia ni dibaji, kusudi wasome muhtasari wa kitabu kizima. Kwa hiyo dibaji inapaswa iandikwe kwa mantiki na kwa makini ileile iliyotumika katika kuchagua jina la kitabu. Lengo la jina la kitabu na dibaji ni kuishawishi hadhira kusoma kitabu na kukifurahia.””
About This Quote
Book titles and cover designs must be thoughtfully chosen to attract readers and convey the book’s essence, influencing both interest and enjoyment.
In simple terms: Thoughtful titles and covers draw readers and set expectations.
Design with purpose to engage readers.
Themes
Mood
Type
When to use this quote
- publishing
- bookstores
- online listings
- author promotions
- literary festivals
Key Concepts
Questions to Reflect On
- What elements of a cover make you pick up a book?
- How can a title reflect a book’s core message?
Overemphasis on design may distract from content quality.