“Nitajisikia raha sana kufungwa kwa ajili ya matatizo watu.” — Enock Maregesi Heroism Copy Share Image
“Behave professionally and let any bad feelings out of life!” — Enock Maregesi Bad feelings Copy Share Image
“Gluttony is the act of digging a grave with your own teeth.” — Enock Maregesi Death Copy Share Image
“Kadiri unavyozidi kupanda juu ndivyo utakavyoanguka vibaya.” — Enock Maregesi Drug abuse Copy Share Image
“Serikali inayodhulumu wananchi wake ni hatari kuliko simba.” — Enock Maregesi Allegiance Copy Share Image
“Kufanya kosa huku ukijua ni kosa ni kujiombea jela mwenyewe.” — Enock Maregesi Inspirational Copy Share Image
“Tumaini lina nguvu kuliko woga… Usisimame. Endelea kutembea.” — Enock Maregesi Don-t-give-up Copy Share Image
“Mungu alisema tupendane katika shida na raha; Luka 6:27-36. Katika matatizo mpende hasimuyo. Maumivu ya watu hufanana.” — Enock Maregesi 100 Copy Share Image
“Ukitenda mema lazima utalipwa mema, ama unajua au hujui, na ukitenda mabaya lazima utalipwa mabaya, ama unajua au hujui.” — Enock Maregesi Evil Copy Share Image
“Kila mtu hapa duniani ni jirani yako. Hakuna mtu mwingine hapa ulimwenguni isipokuwa sisi. Lazima tujifunze kuishi pamoja.” — Enock Maregesi Peace on earth Copy Share Image
“Adui wa msalaba ni yule anayeipenda dunia badala ya Mungu, na rafiki wa msalaba ni yule anayempenda Mungu badala ya dunia.” — Enock Maregesi Adui Copy Share Image
“Nilijitolea sehemu ya maisha yangu ya kijamii na kifamilia kuweza kuchapisha Kolonia Santita katika kiwango nilichokitaka.” — Enock Maregesi Family Copy Share Image
“Mbili jumulisha mbili wakati mwingine si sawa na nne. Ni sawa na nne jumulisha moja kwa sababu moja ni nguvu ya ushirikiano.” — Enock Maregesi Five Copy Share Image
“Ni rahisi kushinda vita ya maisha na kuishi mbinguni duniani. Ni vigumu kushinda vita ya dhambi na kuishi mbinguni paradiso.” — Enock Maregesi American dream Copy Share Image
“Wafundishe watoto wako uaminifu, adabu na jinsi ya kuishi vizuri na watu, ili waaminike, waheshimike na waishi vizuri na watu.” — Enock Maregesi Adabu Copy Share Image
“Tunazaliwa na kufa. Lakini hatujui tunakotoka. Wala hatujui tunakokwenda. Huenda tunatoka na kwenda katika dunia nyingine, ya ulimwengu mwingine, hivyo kutufanya wageni… — Enock Maregesi Alien Copy Share Image
“Dunia ni uwanja wa vita wa vita ya dhambi ya vita ya maisha! Kuishi maisha ya kufikirika ni kushinda vita ya maisha… — Enock Maregesi American dream Copy Share Image
“Nafasi yako peponi itapotea iwapo utamruhusu Pluto (kiongozi wa ahera) akukaribishe bazarai (makao makuu ya ahera) kwa kuchukua maisha yako mwenyewe. Kujiua… — Enock Maregesi Hell Copy Share Image
“Shetani naye anamtumia Mungu kama wakala wake wa kutoa adhabu kwa binadamu kwa sababu Shetani siku hizi anaishi makanisani na misikitini. Anamtumia… — Enock Maregesi Adhabu Copy Share Image
“Hatutakiwi kuishi kama raia wa Tanzania peke yake. Tunatakiwa kuishi kama raia wa dunia na watumishi wa utu, hasa katika kipindi hiki… — Enock Maregesi Abroad Copy Share Image
“Kwa nini Biblia imejaa mafumbo? Biblia imejaa mafumbo kwa sababu akili za watu bado hazijakomaa kuupokea ukweli. Yesu na waandishi wote wa… — Enock Maregesi Bible Copy Share Image
“Bethlehemu iliteuliwa na Mungu kuwa mahali pa kuzaliwa Mfalme. Kwa sababu ya Bethlehemu, dhambi zetu zote zilisamehewa. Wakristo wengi wakipata pesa wanakwenda… — Enock Maregesi Bethlehem Copy Share Image
“Shetani hataacha kukuandama. Atakuandama mpaka siku utakapookoka. Yaani, siku utakapookolewa na Yesu Kristo, siku ambapo Shetani hatakuwepo tena. Silaha kuu tunayotakiwa kuwa… — Enock Maregesi Day Copy Share Image