Development Quote by Enock Maregesi Download Open image ““Maendeleo ya mtu yatatokana na juhudi za mtu mwenyewe.”” — Enock Maregesi ★ ★ ★ ★ ★ 4.5 out of 5 (5 ratings) Copy quoteShare Development Effort Growth Man Struggle Struggle-for-life Success Yang
“Mungu haamui jinsi watu wanavyoamua. Mtu akikwambia huna kipaji muulize yeye ni nani.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Serikali haifungi mtu kutokana na shinikizo la watu. Inafunga mtu kutokana na sheria za nchi.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Iwapo kila mtu atamheshimu mwenzake kama anavyojiheshimu mwenyewe; tunaweza kuishi mbinguni duniani ... lakini kwanza tuwe na maarifa binafsi.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mtu aliyepoteza kazi na mke na watoto wake kuuwawa kwa mfano, watu wanapaswa kuwa makini na yeye, ana uwezo wa kufanya chochote.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kila mtu hapa duniani ni jirani yako. Hakuna mtu mwingine hapa ulimwenguni isipokuwa sisi. Lazima tujifunze kuishi pamoja.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mtu aliyepoteza kila kitu katika maisha yake ana uwezo wa kufanya chochote.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Watu wakikuonyesha tabia zao za ndani kabisa usisubiri wakuonyeshe tena ndiyo uwaamini. Waamini kwa mara ya kwanza. Mtu, kwa mfano, akionyesha kwa mara ya… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mtu akikuita mjinga au mpumbavu juu ya maisha yako usikasirike kwa sababu wewe si mjinga wala mpumbavu. Sema hapana kwa ndiyo nyingi kwa sababu… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mtu akikuomba msamaha msamehe. Usipomsamehe hutasamehewa na aliyetusamehe.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kusaliti nchi, ambayo majeshi ya ulinzi na usalama yameundwa kuilinda, ni miongoni mwa makosa makubwa kabisa kuweza kufanywa na mtu! Adhabu yake ni kifungo… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mtu akikutukana mwambie asante. Akikupiga mwambie asante. Akiendelea kukupiga, pigana.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Uzima wa milele si mchezo wa kubahatisha! Kila mtu atalipwa kulingana na matendo yake, mema au mabaya, na huo uzima wa milele atapewa yule… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ukitaka kuleta mabadiliko katika dunia huna budi kubadilika wewe kwanza. Ukibadilika ukawa mwema katika jamii yako umeleta mabadiliko katika dunia.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Watu wenye ujuzi au vipaji wanatakiwa kwenda shule kusomea ujuzi au vipaji vyao – kwa miezi mitatu au sita angalau.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu akikubariki kipaji chako watu watasema ni laana. Maisha yako ni sawa na mto. Unakoelekea ni baharini. Lakini sasa umefika kwenye mlango wa bahari.… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ningependa kujitokeza leo kutoa salamu zangu za rambirambi kwa Watu wa Musoma; kutokana na ajali mbaya ya mabasi ya J4 Express, Mwanza Coach, na… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu hutumia watu 'wajinga' na 'wapumbavu' kufanya mambo makubwa katika maisha yao na ya watu wengine. Katika Biblia, Musa aliitwa mjinga alipokiuka amri ya… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mwandishi lazima awe msomaji wa kila aina ya maandishi anayoweza kusoma. Akipanua upeo wake namna hiyo, kila atakachoandika kitaacha nukuu.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Heri kuwa maskini mwenye pesa nyingi kuliko tajiri mwenye mifuko iliyotoboka.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Unapokutana na mtu, kisha mtu huyo haoneshi dalili yoyote ya kutaka kusalimiwa; je, anataka umsalimie au usimsalimie? Ndugu yangu, onesha lugha ya mwili kuonesha… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Nafasi yako peponi itapotea iwapo utamruhusu Pluto (kiongozi wa ahera) akukaribishe bazarai (makao makuu ya ahera) kwa kuchukua maisha yako mwenyewe. Kujiua ni kujipenda… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu ana mpango na maisha ya kila mtu hapa duniani bila kujali dini, jinsia, kabila, rangi, taifa, au umri, na kila mtu ni wa… — Enock Maregesi Copy Share Image
Philosopher is a dictator who modifies accepted standards with his thoughts. — Ilkin Santak Copy Share Image
The image of blacks usually is one of people who are suffering from hunger, unemployment, and poverty. The idea of them as agents and… — Grace Lee Boggs Copy Share Image
A lot of times I'll show someone a technique I got really good with, but I didn't put all the hours in. I didn't… — Eddie Bravo Copy Share Image
Thoroughly understand what it is to understand, and not only will you understand the broad lines of all there is to be understood but… — Bernard Lonergan Copy Share Image
All our efforts to defeat poverty and pursue sustainable development will be in vain if environmental degradation and natural resource depletion continue unabated. — Kofi Annan Copy Share Image
Many humanists have argued that happiness involves a combination of hedonism and creative moral development; that an exuberant life fuses excellence and enjoyment, meaning… — Paul Kurtz Copy Share Image
When they started to drain a swamp where birds and fish had lived, for a new housing development down the road from his apartment,… — Maile Meloy Copy Share Image
Close contact between science and the practice of collective farms and State farms creates inexhaustible opportunities for the development of theoretical knowledge, enabling us… — Trofim Lysenko Copy Share Image
The chances are that you have already come to believe that happiness is unattainable. But men have attained it. And they have attained it… — Arnold Bennett Copy Share Image
Firstly, economic globalisation has brought prosperity and development to many countries, but also financial crises to Asia, Latin America and Russia, and increasing poverty… — Anna Lindh Copy Share Image
They are the gateway for our modern esthetic development, the prophets of the new time. They are most of all, the primitives of the… — Marsden Hartley Copy Share Image
Here we were talking about economic development, about investing billions of dollars in various programs, and I could see it wasn't billions of dollars… — Muhammad Yunus Copy Share Image