Skip to content

Abraham Quote by Enock Maregesi

“Mungu hutumia watu 'wajinga' na 'wapumbavu' kufanya mambo makubwa katika maisha yao na ya watu wengine. Katika Biblia, Musa aliitwa mjinga alipokiuka amri ya Farao ya kuendelea kuwafanya watumwa wana wa Israeli nchini Misri; Nuhu aliitwa mpumbavu alipohubiri kwa miaka mia kuhusu gharika, katika…” quote by Enock Maregesi
Download Open image
““Mungu hutumia watu 'wajinga' na 'wapumbavu' kufanya mambo makubwa katika maisha yao na ya watu wengine. Katika Biblia, Musa aliitwa mjinga alipokiuka amri ya Farao ya kuendelea kuwafanya watumwa wana wa Israeli nchini Misri; Nuhu aliitwa mpumbavu alipohubiri kwa miaka mia kuhusu gharika, katika kipindi ambacho watu hawakujua mvua ni nini; Daudi aliitwa mjinga alipojitolea kupambana na Goliati bonge la mtu, shujaa wa Gathi; Yusufu aliitwa mjinga alipokataa kulala na mke wa bosi wake, baada ya kuwa ameuzwa na nduguze kama mtumwa nchini Misri; Abrahamu aliitwa mjinga alipoamua kuhama nchi aliyoipenda na kwenda katika nchi ya ahadi, eti kwa sababu Mungu alimwambia kufanya hivyo; Yesu aliitwa mjinga mpaka akasulubiwa aliposema yeye ni Mfalme na Mwana wa Mungu. LAKINI, Musa alitenganisha Bahari ya Shamu na kuwapeleka Waisraeli katika nchi ya ahadi, ambako aliwakomboa kutoka utumwani. Nuhu aliokoa dunia. Daudi alimshinda Goliati. Yusufu aliokoa familia yake kutokana na njaa. Abrahamu alikuwa baba wa imani. Yesu aliyashinda mauti. Wakati mwingine tunatakiwa kufanya mambo makubwa kulingana na jinsi Roho Mtakatifu anavyotutuma, bila kujali watu au dunia itasemaje.””

Enock Maregesi

About This Quote

The passage argues that God often labels those who act against conventional wisdom as foolish, yet those very individuals become instruments of divine deliverance and transformation.

In simple terms: God uses perceived fools for great deeds.

Key Takeaway

Divine purpose can appear irrational.

Themes

faith divine providence misunderstood leadership courage spiritual obedience

Mood

hopeful challenging

Type

theological narrative

When to use this quote

  • confronting oppressive authority
  • building a new community
  • surviving catastrophe
  • defeating overwhelming opposition

Key Concepts

prophetic calling faith in adversity obedience over reputation

Practical Applications

  • inspire believers to trust unconventional guidance
  • reframe perceived failure as divine strategy

Questions to Reflect On

  • How might we recognize divine purpose in seemingly foolish actions?
  • What risks arise when we ignore societal judgment in favor of spiritual conviction?
4.7 out of 5 (4 ratings)

More by Enock Maregesi

Explore all 471 Enock Maregesi quotes

More Abraham quotes

Browse all 368 Abraham quotes