Askari-wa-kirumi Quote by Enock Maregesi
““Askari wa Kirumi alimchoma Yesu mkuki ili andiko litimie. Askari huyo ambaye Biblia haikumtaja jina kwa sababu zilizoko nje ya uwezo wetu, alivyoona kweli amepona na ameona alishuhudia, na ushuhuda wake ulitoka moyoni, ili nasi tupate kusadiki. Wauaji wa Kirumi walipoona kwamba wale wezi waliosulubiwa pamoja na Yesu walikuwa bado hawajakata roho, waliwavunja miguu ili washindwe kupumua na hivyo kuharakisha kifo chao. Kwa upande wa Yesu, waliona alishapoteza fahamu na labda alishafariki. Kuthibitisha hilo askari wa Kirumi alirusha mkuki, nao ukatoboa utando unaozunguka moyo wa Yesu na mapafu ya Yesu, na damu na maji kutoka. Lakini yote hayo yalishatabiriwa miaka mingi kabla ya Yesu: ‘Hakuna hata mfupa wake mmoja utakaovunjwa’ na ‘Nao watamtazama yeye ambaye walimchoma’.””
About This Quote
The passage depicts a soldier’s brutal execution of Jesus, emphasizing the inevitability of his suffering and the prophetic foreknowledge of his death.
In simple terms: A soldier kills Jesus, fulfilling prophecy and showing his suffering was foretold.
Recognize that suffering may be foretold but still demands compassion.
Themes
Mood
Type
When to use this quote
- religious study
- historical analysis
- ethical reflection
- interfaith dialogue
Key Concepts
Questions to Reflect On
- What does this story teach about destiny versus free will?
- How should we respond to depictions of divine suffering?
The narrative may be symbolic rather than historical, limiting its factual reliability.