Angel Quote by Enock Maregesi
““Mungu akikubariki kipaji chako watu watasema ni laana. Maisha yako ni sawa na mto. Unakoelekea ni baharini. Lakini sasa umefika kwenye mlango wa bahari. Unahangaika upite wapi kufika baharini, ambapo utaogelea kwa kadiri utakavyoweza. Utakapofika baharini, watu, badala ya kusema umebarikiwa, watasema umelaaniwa, badala ya kukuita malaika, watakuita shetani. Mafanikio hayapimwi kwa pesa au mali kiasi gani unayo, mafanikio yanapimwa kwa amani ya moyo au maisha ya watu kiasi gani umeboresha.””
About This Quote
True success is measured by the peace and impact one brings to others, not by wealth or status.
In simple terms: Success = peace, not profit.
Impact outweighs riches.
Themes
Mood
Type
When to use this quote
- career advancement
- personal growth
- public recognition
- leadership roles
- philanthropy
Key Concepts
Practical Applications
- leadership development
- community building
Questions to Reflect On
- How do you define success beyond material gain?
- What steps can you take to increase your positive impact on others?