Skip to content

18 Quote by Enock Maregesi

“Binti yako mwenye umri wa miaka kumi na nne kwa mfano, anaomba umnunulie gari kama ulivyofanya kwa kaka yake mwenye umri wa miaka kumi na nane. Mara ya kwanza unamwambia utamnunulia atakapofikisha umri wa miaka kumi na nane kama ulivyofanya kwa kaka yake. Lakini baada ya wiki moja binti yako…” quote by Enock Maregesi
Download Open image
““Binti yako mwenye umri wa miaka kumi na nne kwa mfano, anaomba umnunulie gari kama ulivyofanya kwa kaka yake mwenye umri wa miaka kumi na nane. Mara ya kwanza unamwambia utamnunulia atakapofikisha umri wa miaka kumi na nane kama ulivyofanya kwa kaka yake. Lakini baada ya wiki moja binti yako anakuomba tena kitu kilekile, yaani gari. Utajisikiaje? Utakereka, sivyo? Jinsi utakavyokereka binti yako kukuomba kitu ambacho tayari ameshakuomba, ndivyo Mungu anavyokereka sisi kumwomba vitu ambavyo tayari tumeshamwomba. Ukiomba kitu kwa mara ya kwanza Mungu amekusikia, tayari ameshaandaa malaika wa kukuletea jibu. Unachotakiwa kufanya, baada ya kuomba, shukuru mpaka jibu lako litakapofika. Mungu huthamini zaidi maombi ya kushukuru kuliko maombi ya kuomba. Binti yako anachotakiwa kufanya baada ya kukuomba gari ni kukushukuru mpaka gari yake itakapofika, si kukuomba mpaka gari yake itakapofika.””

Enock Maregesi

About This Quote

Source Sermon: African Christian Teaching, 2020

Repeated requests for the same need reveal deeper trust and gratitude; God answers the first sincere plea and expects thanks before the answer arrives.

In simple terms: Ask again, thank first, receive later.

Key Takeaway

Thank before receiving.

Themes

faith patience gratitude prayer divine timing

Mood

hopeful reflective

Type

spiritual instructional

When to use this quote

  • family requests
  • financial needs
  • personal petitions
  • seeking blessings

Key Concepts

Spiritual obedience trust in divine provision the power of gratitude

Questions to Reflect On

  • Do you thank before you receive?
  • How does gratitude change the nature of your prayers?
A Different Perspective

Repeated asking without gratitude can breed entitlement rather than humility.

3.1 out of 5 (4 ratings)

More by Enock Maregesi

Explore all 471 Enock Maregesi quotes

More 18 quotes

Browse all 5 18 quotes