Skip to content

Almighty Quote by Enock Maregesi

“Maombi ya sifa huunganisha watu wa Mungu na hutayarisha njia kwa ajili ya uwezo wa Mungu katika maisha yetu. Thamani ya maombi ya sifa wakati wa matatizo ni kuimarisha imani yetu, na kuwa karibu na Mungu wetu. Mungu anataka tumpe sifa na kumshukuru kwa kila jambo, kama Mtume Paulo anavyosema…” quote by Enock Maregesi
Download Open image
““Maombi ya sifa huunganisha watu wa Mungu na hutayarisha njia kwa ajili ya uwezo wa Mungu katika maisha yetu. Thamani ya maombi ya sifa wakati wa matatizo ni kuimarisha imani yetu, na kuwa karibu na Mungu wetu. Mungu anataka tumpe sifa na kumshukuru kwa kila jambo, kama Mtume Paulo anavyosema katika waraka wa kwanza wa Wathesalonike 5:16-18. Kumshukuru Mungu wakati wa matatizo ni amri, si ombi.””

Enock Maregesi

About This Quote

Prayer of praise strengthens faith and brings us closer to God, especially during trials, as taught in 1 Thessalonians 5:16‑18.

In simple terms: Praise in prayer builds faith.

Key Takeaway

Pray with gratitude.

Themes

faith prayer resilience

Mood

reverent encouraging

Type

spiritual inspirational

When to use this quote

  • personal hardship
  • community worship
  • daily devotion

Key Concepts

theology spiritual discipline

Questions to Reflect On

  • How can you balance praise and lament?
  • What practices deepen your faith?
A Different Perspective

Overemphasis on praise may ignore needed lament.

4.4 out of 5 (3 ratings)

More by Enock Maregesi

Explore all 471 Enock Maregesi quotes

More Almighty quotes

Browse all 723 Almighty quotes