Skip to content

Anger Quote by Enock Maregesi

“Aidha, tunaweza kupata inkishafi kutokana na asili ya miili yetu, matukio fulani ya wakati ujao yana asili yake katika ndoto za binadamu. Ndoto hizo au maono hayo ni ishara ya kile kinachokuja mbele katika maisha ya mtu; kama vile afya, ugonjwa au hatari. Ukiota kuhusu moto, hiyo ni ishara ya…” quote by Enock Maregesi
Download Open image
““Aidha, tunaweza kupata inkishafi kutokana na asili ya miili yetu, matukio fulani ya wakati ujao yana asili yake katika ndoto za binadamu. Ndoto hizo au maono hayo ni ishara ya kile kinachokuja mbele katika maisha ya mtu; kama vile afya, ugonjwa au hatari. Ukiota kuhusu moto, hiyo ni ishara ya hasira – unatakiwa kuwa na hekima; ukiota kuhusu mimba na unajifungua, hiyo ni ishara ya kuwa katika mchakato wa kutengeneza wazo jipya – unatakiwa kushukuru; ukiota unaruka angani, hiyo ni ishara ya tumaini – unatakiwa kushukuru; ukiota kuhusu maji au kiowevu kingine chochote kile, hiyo ni ishara ya siri na wakati mwingine ni ishara ya kuwa na matatizo ya kiafya kama utaota kuhusu maji machafu – unatakiwa kuwa msiri na msafi; ukiota kuhusu ardhi, hiyo ni ishara ya huzuni – unatakiwa kuomba; na ukiota kuhusu Yesu, hiyo ni ishara ya mafanikio – unatakiwa kushukuru.””

Enock Maregesi

About This Quote

Source Essay: Cultural reflections on dreams, 2020

Dream symbols reflect bodily origins and future events, guiding emotions like anger, hope, or health, urging wisdom and gratitude.

In simple terms: Dreams signal future events and emotions.

Key Takeaway

Interpret dreams for insight and gratitude.

Themes

dreams symbolism wisdom

Mood

contemplative spiritual

Type

philosophical inspirational

When to use this quote

  • personal health
  • emotional regulation
  • spiritual practice
  • decision making

Key Concepts

psychology cultural belief future‑orientation

Questions to Reflect On

  • What dream symbols resonate most with you?
  • How can you apply gratitude to dream insights?
A Different Perspective

Dream interpretations are subjective and may mislead.

3.8 out of 5 (10 ratings)

More by Enock Maregesi

Explore all 471 Enock Maregesi quotes

More Anger quotes

Browse all 7,020 Anger quotes