Skip to content

Alamu Quote by Enock Maregesi

“Mwili wako una uwezo wa kujua kabla yako kitakachotokea baadaye. Kama una njaa kwa mfano, mwili wako utakwambia. Kama una kiu, mwili wako utakwambia. Kama unaumwa, mwili wako utakwambia. Kama kuna kitu kibaya kinatarajia kutokea katika maisha yako au katika maisha ya mtu mwingine, mwili wako…” quote by Enock Maregesi
Download Open image
““Mwili wako una uwezo wa kujua kabla yako kitakachotokea baadaye. Kama una njaa kwa mfano, mwili wako utakwambia. Kama una kiu, mwili wako utakwambia. Kama unaumwa, mwili wako utakwambia. Kama kuna kitu kibaya kinatarajia kutokea katika maisha yako au katika maisha ya mtu mwingine, mwili wako utakwambia. Kuwa makini na alamu zinazotoka ndani ya mwili wako, kwani hizo ni ishara za Roho Mtakatifu kukuepusha na matatizo ya dunia hii.””

Enock Maregesi

About This Quote

Source Speech: Religious teaching, unknown location, unknown date

The body can sense future events or needs and signal them, urging vigilance to avoid worldly troubles.

In simple terms: Your body warns you of future needs or dangers.

Key Takeaway

Pay attention to bodily signals.

Themes

spiritual awareness self‑care prevention

Mood

reflective serious

Type

advice spiritual

When to use this quote

  • health decisions
  • danger avoidance
  • personal growth
  • spiritual practice

Key Concepts

intuition body‑mind connection divine guidance

Questions to Reflect On

  • How do you differentiate intuition from anxiety?
  • What practices help you trust bodily cues?
A Different Perspective

Signals may be misinterpreted or ignored, leading to missed warnings.

3.6 out of 5 (8 ratings)

More by Enock Maregesi

Explore all 471 Enock Maregesi quotes

More Alamu quotes

Browse all 2 Alamu quotes