Wanasema ukikalia mafiga ni vibaya kwa mtoto wa kiume ''mababu hao — Bob Riza Swahili Copy Share Image
Mchawi ni mjinga siku zote kwa kuwa haibi mali bali anakutesa tu hata kama ni masikini — Bob Riza Swahili Copy Share Image
Tatizo lisikie kwa mwenzako tu...likikupata wewe utakiona cha moto — Bob Riza Swahili Copy Share Image
Hasira zinaweza kumfanya mtu achukue uamuzi wowote ule 'mbaya au mzuri'' — Bob Riza Hasira Copy Share Image
Kama ukimwi ungekuwa binadamu basi ungekuwa na dhambi nyingi sana — Bob Riza Swahili Copy Share Image
Bora uamini kuwa mungu yupo ili ukimkosa iwe sawa tu kuliko kutomwamini kisha ukamkuta — Bob Riza Swahili Copy Share Image
Hakuna makalio yaliyochongoka 'nenda popote pale duniani hutoyakuta — Bob Riza Swahili Copy Share Image
Hata raisi naye huwa anaenda msalani na anafurahi au kununa kama mtu wa kawaida — Bob Riza Kama Copy Share Image