Mchawi ni mjinga siku zote kwa kuwa haibi mali bali anakutesa tu hata kama ni masikini — Bob Riza Copy Share Image
“For the rest of my life, Zanzibar will be the Swahili word for rain. The rain would drizzle, spit, mist, downpour, shower,… — Kristine K. Stevens Copy Share Image
Kujiepusha na kidogo chenye kuumiza ni bora, kuliko kuwa na kingi chenye kukufurahisha. — Lc The DreamKid Copy Share Image
Tunaishi duniani hali ya kutenda maovu usiku na mchana na kudhani kuwa tutaipata pepo hali ya kusahau kuwa Adam kosa moja tu… — Lc The DreamKid Copy Share Image
Mwenye kujidhulumu ni yule ajiwekae karibu na mtu anaemtenga, na kumnyeyekea amdhalilishae.. — Lc The DreamKid Copy Share Image
Kwa mara nyingi, Kutoa nasaha baada ya tukio, ni sawa na kumpa majeruhi (mgonjwa) dawa baada ya kifo. — Lc The DreamKid Copy Share Image
Kuusikitikia sana muda uliopita ni dalili tosha ya kuwa hatuujali wakati tulionao. — Lc The DreamKid Copy Share Image
Kuna baadhi yetu hupendelea kukaa peke yao, si kwa sababu ya kiburi, ila tu kwa sababu ya upuuzi wa wengine.. — Lc The DreamKid Copy Share Image