Swahili Quote by Bob Riza Download Open image “Asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu” — Bob Riza ★ ★ ★ ★ ★ 4.5 out of 5 (9 ratings) Copy quoteShare Swahili Yang
“Maumivu ya matatizo ya yule aliyekukosea hayana tofauti na maumivu ya matatizo ya wewe uliyekosewa. Adui yako (kwa mfano) akifiwa na mke aliyempenda sana,… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mtu akikuomba msamaha msamehe. Usipomsamehe hutasamehewa na aliyetusamehe.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kusaliti nchi, ambayo majeshi ya ulinzi na usalama yameundwa kuilinda, ni miongoni mwa makosa makubwa kabisa kuweza kufanywa na mtu! Adhabu yake ni kifungo… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ukifuata kanuni ya nguvu ya uvutano uhitaji kujua jinsi utakavyofanikiwa. Kazi yako ni kuwaza tu kwa namna inavyotakiwa. Waza na amini kwa asilimia mia… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kwa nini mtoto mchanga anapokuwa ananyonya ziwa la mama yake, mara nyingi humwangalia mama yake machoni? Kwa sababu, licha ya macho kuonekana kitu cha… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Asiyefundishwa na wazazi wake atafundishwa na dunia kwa kudharaulika.” — Enock Maregesi Copy Share Image
Hata raisi naye huwa anaenda msalani na anafurahi au kununa kama mtu wa kawaida — Bob Riza Copy Share Image
“Debbie alikuwa akimwangalia Murphy kama paka anavyoangalia maziwa.” — Enock Maregesi Copy Share Image
Mchawi ni mjinga siku zote kwa kuwa haibi mali bali anakutesa tu hata kama ni masikini — Bob Riza Copy Share Image
Mchawi ni mjinga siku zote kwa kuwa haibi mali bali anakutesa tu hata kama ni masikini — Bob Riza Copy Share Image
“For the rest of my life, Zanzibar will be the Swahili word for rain. The rain would drizzle, spit, mist, downpour, shower, torrent, gust,… — Kristine K. Stevens Copy Share Image
Kujiepusha na kidogo chenye kuumiza ni bora, kuliko kuwa na kingi chenye kukufurahisha. — Lc The DreamKid Copy Share Image
Tunaishi duniani hali ya kutenda maovu usiku na mchana na kudhani kuwa tutaipata pepo hali ya kusahau kuwa Adam kosa moja tu ndilo lililomtoa… — Lc The DreamKid Copy Share Image