Swahili Quote by Lc The DreamKid Download Open image “Asiyekuheshimu na kukujali, ni afadhali ukawa nae mbali sana..” — Lc The DreamKid ★ ★ ★ ★ ★ 5.0 out of 5 (3 ratings) Copy quoteShare Swahili
“Asiyefundishwa na wazazi wake atafundishwa na dunia kwa kudharaulika.” — Enock Maregesi Copy Share Image
HaijalishI UnamuonekanOganI, yOTE ni Kazi Ya MUNGU. so, JIKUBALI. @All…!!!! — Daudi Bilingi Copy Share Image
“Ukifuata kanuni ya nguvu ya uvutano uhitaji kujua jinsi utakavyofanikiwa. Kazi yako ni kuwaza tu kwa namna inavyotakiwa. Waza na amini kwa asilimia mia… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Heri kufuta mashtaka kuliko kumfunga mtuhumiwa asiyekuwa na makosa. Kuonewa kunauma.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Lakini ukweli ni upi? Ukweli ni kwamba utajiri una changamoto nyingi kuupata na kuudumisha pia kuliko usomi na kwamba ukweli ni amani ya Mungu… — Enock Maregesi Copy Share Image
Kwa mara nyingi, Kutoa nasaha baada ya tukio, ni sawa na kumpa majeruhi (mgonjwa) dawa baada ya kifo. — Lc The DreamKid Copy Share Image
Mwenye kujidhulumu ni yule ajiwekae karibu na mtu anaemtenga, na kumnyeyekea amdhalilishae.. — Lc The DreamKid Copy Share Image
“Ilmu di peringkat maknawi dan yaqini Kawanku, bukan lagi nisbi ciptaan basyari Anugerah Rabbul Jalil, harus disyukuri, dinikmati Dan amalkan sepenuh hati, disebarkan ke… — Wan Mohd Nor Wan Daud Copy Share Image
Maisha ya uhakika tuishio ni yale tuishio pamoja na nafsi zetu na sio tuwapo mbele za watu. — Lc The DreamKid Copy Share Image
Saa moja ukaayo na maumivu ni refu kuliko siku nzima iliyo na furaha. — Lc The DreamKid Copy Share Image
Kujiepusha na kidogo chenye kuumiza ni bora, kuliko kuwa na kingi chenye kukufurahisha. — Lc The DreamKid Copy Share Image
Tunaishi duniani hali ya kutenda maovu usiku na mchana na kudhani kuwa tutaipata pepo hali ya kusahau kuwa Adam kosa moja tu ndilo lililomtoa… — Lc The DreamKid Copy Share Image
I gotta make a move, I gotta do this now, if they don't know my dreams, then they can't shoot 'em down! — Lc The DreamKid Copy Share Image
Mwenye kujidhulumu ni yule ajiwekae karibu na mtu anaemtenga, na kumnyeyekea amdhalilishae.. — Lc The DreamKid Copy Share Image
Kwa mara nyingi, Kutoa nasaha baada ya tukio, ni sawa na kumpa majeruhi (mgonjwa) dawa baada ya kifo. — Lc The DreamKid Copy Share Image
Mchawi ni mjinga siku zote kwa kuwa haibi mali bali anakutesa tu hata kama ni masikini — Bob Riza Copy Share Image
“For the rest of my life, Zanzibar will be the Swahili word for rain. The rain would drizzle, spit, mist, downpour, shower, torrent, gust,… — Kristine K. Stevens Copy Share Image