Swahili Quote by Bob Riza Download Open image “Kukubali kushindwa ni kukubali kutofanikiwa” — Bob Riza ★ ★ ★ ★ ★ 2.7 out of 5 (4 ratings) Copy quoteShare Swahili
“Heri kuogopwa kuliko kupendwa kama huwezi kuogopwa na kupendwa kwa wakati mmoja.” — Enock Maregesi Copy Share Image
Bora uamini kuwa mungu yupo ili ukimkosa iwe sawa tu kuliko kutomwamini kisha ukamkuta — Bob Riza Copy Share Image
“Kusaliti nchi, ambayo majeshi ya ulinzi na usalama yameundwa kuilinda, ni miongoni mwa makosa makubwa kabisa kuweza kufanywa na mtu! Adhabu yake ni kifungo… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Imani ni nia ya kujua kisichoweza kujulikana na hupeleka watu kwenye ukweli. Kuamini hupotosha, na ni nia ya kudharau kinachoweza kujulikana.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kama baba yako hakukufundisha kwamba kuiba ni kitu kibaya, dunia itakufundisha kwa kukuchukia.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ukiwaza kwa kufuata kanuni ya nguvu ya uvutano (ambayo ni kuwaza na kuamini kama kile unachokiwaza tayari umeshakipata bila hata kujua umekipataje) utaishi kama ulivyowaza. Ukiwaza kuwa jambazi utakuwa jambazi hakika, ukiwaza kupona ugonjwa unaokusumbua utapona hakika, na ukiwaza kuwa tajiri utakuwa tajiri hakika. Mafanikio hayo yanaweza kuchukua mwezi mmoja kutimia au yanaweza kuchukua miaka kumi. Unachotakiwa kufanya ni kuwaza… — Enock Maregesi Copy Share
“Hii ndiyo kanuni ya nguvu ya uvutano: Kuamini = kujua! Haijalishi unamwamini Mungu au haumwamini. Kugeuza kuamini kuwa kujua si kazi rahisi hata kidogo,… — Enock Maregesi Copy Share Image
Kwa mara nyingi, Kutoa nasaha baada ya tukio, ni sawa na kumpa majeruhi (mgonjwa) dawa baada ya kifo. — Lc The DreamKid Copy Share Image
Mchawi ni mjinga siku zote kwa kuwa haibi mali bali anakutesa tu hata kama ni masikini — Bob Riza Copy Share Image
Mchawi ni mjinga siku zote kwa kuwa haibi mali bali anakutesa tu hata kama ni masikini — Bob Riza Copy Share Image
“For the rest of my life, Zanzibar will be the Swahili word for rain. The rain would drizzle, spit, mist, downpour, shower, torrent, gust,… — Kristine K. Stevens Copy Share Image
Kujiepusha na kidogo chenye kuumiza ni bora, kuliko kuwa na kingi chenye kukufurahisha. — Lc The DreamKid Copy Share Image
Tunaishi duniani hali ya kutenda maovu usiku na mchana na kudhani kuwa tutaipata pepo hali ya kusahau kuwa Adam kosa moja tu ndilo lililomtoa… — Lc The DreamKid Copy Share Image