Swahili Quote by Lc The DreamKid Download Open image “Ulimi wa mwenye Hekima hueneza maarifa.” — Lc The DreamKid ★ ★ ★ ★ ★ 2.4 out of 5 (5 ratings) Copy quoteShare Swahili
Hata raisi naye huwa anaenda msalani na anafurahi au kununa kama mtu wa kawaida — Bob Riza Copy Share Image
“Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa mtetezi wa uafrika. Kwa sababu yake tunajua sisi ni nani.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mwandishi lazima awe msomaji wa kila aina ya maandishi anayoweza kusoma. Akipanua upeo wake namna hiyo, kila atakachoandika kitaacha nukuu.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Iwapo kila mtu atamheshimu mwenzake kama anavyojiheshimu mwenyewe; tunaweza kuishi mbinguni duniani ... lakini kwanza tuwe na maarifa binafsi.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Hutaweza kufikia malengo yako kikamilifu bila msaada wa wataalamu – Hata kama una kipaji au ujuzi kiasi gani.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu ni mwingi wa hekima, lakini kwa nini alimuumba Shetani? Kwa sababu, Shetani wakati mwingine ni hekima. Ukiendelea kupigwa, bila wewe kupiga, unaweza kuumia,… — Enock Maregesi Copy Share Image
Tungo ni safi nzuri, ahsantuu Utunzi huna dosari, wewe juu Waenda njema safari, ya majuu Hassani wewe hodari, ni mkuu Beti zanukia wazi, karafuu… — Bakari A Ali Reading UK Copy Share Image
Maisha ya uhakika tuishio ni yale tuishio pamoja na nafsi zetu na sio tuwapo mbele za watu. — Lc The DreamKid Copy Share Image
Saa moja ukaayo na maumivu ni refu kuliko siku nzima iliyo na furaha. — Lc The DreamKid Copy Share Image
Kujiepusha na kidogo chenye kuumiza ni bora, kuliko kuwa na kingi chenye kukufurahisha. — Lc The DreamKid Copy Share Image
Tunaishi duniani hali ya kutenda maovu usiku na mchana na kudhani kuwa tutaipata pepo hali ya kusahau kuwa Adam kosa moja tu ndilo lililomtoa… — Lc The DreamKid Copy Share Image
I gotta make a move, I gotta do this now, if they don't know my dreams, then they can't shoot 'em down! — Lc The DreamKid Copy Share Image
Mwenye kujidhulumu ni yule ajiwekae karibu na mtu anaemtenga, na kumnyeyekea amdhalilishae.. — Lc The DreamKid Copy Share Image
Kwa mara nyingi, Kutoa nasaha baada ya tukio, ni sawa na kumpa majeruhi (mgonjwa) dawa baada ya kifo. — Lc The DreamKid Copy Share Image
Mchawi ni mjinga siku zote kwa kuwa haibi mali bali anakutesa tu hata kama ni masikini — Bob Riza Copy Share Image
“For the rest of my life, Zanzibar will be the Swahili word for rain. The rain would drizzle, spit, mist, downpour, shower, torrent, gust,… — Kristine K. Stevens Copy Share Image
Kujiepusha na kidogo chenye kuumiza ni bora, kuliko kuwa na kingi chenye kukufurahisha. — Lc The DreamKid Copy Share Image
Tunaishi duniani hali ya kutenda maovu usiku na mchana na kudhani kuwa tutaipata pepo hali ya kusahau kuwa Adam kosa moja tu ndilo lililomtoa… — Lc The DreamKid Copy Share Image