Swahili Quote by Bob Riza Download Open image “Hakuna binadamu mwenye mamlaka sawa na mungu” — Bob Riza ★ ★ ★ ★ ★ 2.5 out of 5 (7 ratings) Copy quoteShare Swahili
“Mbili jumulisha mbili wakati mwingine si sawa na nne. Ni sawa na nne jumulisha moja kwa sababu moja ni nguvu ya ushirikiano.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Maombi yako yasipojibiwa usikate tamaa, Mungu alishakusikia na tayari alishaandaa malaika wa kukuletea jibu. Jibu wakati mwingine huchelewa kufika kwa sababu ya nguvu za… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu haamui jinsi watu wanavyoamua. Mtu akikwambia huna kipaji muulize yeye ni nani.” — Enock Maregesi Copy Share Image
Mchawi ni mjinga siku zote kwa kuwa haibi mali bali anakutesa tu hata kama ni masikini — Bob Riza Copy Share Image
Mchawi ni mjinga siku zote kwa kuwa haibi mali bali anakutesa tu hata kama ni masikini — Bob Riza Copy Share Image
“For the rest of my life, Zanzibar will be the Swahili word for rain. The rain would drizzle, spit, mist, downpour, shower, torrent, gust,… — Kristine K. Stevens Copy Share Image
Kujiepusha na kidogo chenye kuumiza ni bora, kuliko kuwa na kingi chenye kukufurahisha. — Lc The DreamKid Copy Share Image
Tunaishi duniani hali ya kutenda maovu usiku na mchana na kudhani kuwa tutaipata pepo hali ya kusahau kuwa Adam kosa moja tu ndilo lililomtoa… — Lc The DreamKid Copy Share Image