Swahili Quote by Bob Riza Download Open image “Kamwe panga haliwezi kukaa kwenye pochi” — Bob Riza ★ ★ ★ ★ ★ 4.3 out of 5 (6 ratings) Copy quoteShare Swahili
“Hatutakiwi kuishi kama raia wa Tanzania peke yake. Tunatakiwa kuishi kama raia wa dunia na watumishi wa utu, hasa katika kipindi hiki cha zama… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Watu wanapokuwa katika migogoro maisha yao hutakiwa kurahisishwa. Kuna ukingo mwembamba kati ya uzima na wazimu.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Heri kuogopwa kuliko kupendwa kama huwezi kuogopwa na kupendwa kwa wakati mmoja.” — Enock Maregesi Copy Share Image
Ujinga wa wachawi ni kwamba hawakuibii mali wala pesa bali kukukaba na kukutesa tu — Bob Riza Copy Share Image
“Ndani ya chumba, akiwa bado amechanganyikiwa, akiwa hajui Debbie alikokwenda, Murphy alisikia walinzi wakipiga kelele nje. Kamanda huwa anakuwa shetani nyakati kama hizo. Alibeba… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kuwa tajiri si kazi rahisi. Ukipata milioni ya kwanza utataka nyingine kulinda hiyo ya kwanza. Ukipata ya pili utataka mbili zingine kulinda hizo mbili… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kuwa na huruma kwa malaika anayekulinda ni kujifunika kwa silaha kamili ya Mungu. Ukijifunika kwa panoplia utamrahisishia kazi malaika wako, aliyepewa jukumu na Mwenyezi… — Enock Maregesi Copy Share Image
“kami coba simpan nestapa... kami coba kuburkan duka lara... tapi perih, tak bisa sembunyi. Ia menyebar kemana-mana...” — chairil anwar Copy Share Image
Mchawi ni mjinga siku zote kwa kuwa haibi mali bali anakutesa tu hata kama ni masikini — Bob Riza Copy Share Image
Mchawi ni mjinga siku zote kwa kuwa haibi mali bali anakutesa tu hata kama ni masikini — Bob Riza Copy Share Image
“For the rest of my life, Zanzibar will be the Swahili word for rain. The rain would drizzle, spit, mist, downpour, shower, torrent, gust,… — Kristine K. Stevens Copy Share Image
Kujiepusha na kidogo chenye kuumiza ni bora, kuliko kuwa na kingi chenye kukufurahisha. — Lc The DreamKid Copy Share Image
Tunaishi duniani hali ya kutenda maovu usiku na mchana na kudhani kuwa tutaipata pepo hali ya kusahau kuwa Adam kosa moja tu ndilo lililomtoa… — Lc The DreamKid Copy Share Image