Maisha ya uhakika tuishio ni yale tuishio pamoja na nafsi zetu na sio tuwapo mbele za watu. — Lc The DreamKid Feelings Copy Share Image
Saa moja ukaayo na maumivu ni refu kuliko siku nzima iliyo na furaha. — Lc The DreamKid Feelings Copy Share Image
Kujiepusha na kidogo chenye kuumiza ni bora, kuliko kuwa na kingi chenye kukufurahisha. — Lc The DreamKid Swahili Copy Share Image
Asiyekuheshimu na kukujali, ni afadhali ukawa nae mbali sana.. — Lc The DreamKid Swahili Copy Share Image
Tunaishi duniani hali ya kutenda maovu usiku na mchana na kudhani kuwa tutaipata pepo hali ya kusahau kuwa Adam kosa moja tu… — Lc The DreamKid Swahili Copy Share Image
I gotta make a move, I gotta do this now, if they don't know my dreams, then they can't shoot 'em down! — Lc The DreamKid Dream Copy Share Image
Mwenye kujidhulumu ni yule ajiwekae karibu na mtu anaemtenga, na kumnyeyekea amdhalilishae.. — Lc The DreamKid Swahili Copy Share Image
Kwa mara nyingi, Kutoa nasaha baada ya tukio, ni sawa na kumpa majeruhi (mgonjwa) dawa baada ya kifo. — Lc The DreamKid Swahili Copy Share Image
Kuusikitikia sana muda uliopita ni dalili tosha ya kuwa hatuujali wakati tulionao. — Lc The DreamKid Swahili Copy Share Image
Kuna baadhi yetu hupendelea kukaa peke yao, si kwa sababu ya kiburi, ila tu kwa sababu ya upuuzi wa wengine.. — Lc The DreamKid Swahili Copy Share Image
They believe Tanzania it's a key, and I'm the key to Tanzania. — Lc The DreamKid Inspiration Copy Share Image
Tunaishi duniani hali ya kutenda maovu usiku na mchana na kudhani kuwa tutaipata pepo hali ya kusahau kuwa Adam kosa 1 tu… — Lc The DreamKid Swahili Copy Share Image
Watu wema, ni wale wanaojali uwapacho hata kama ni kidogo.. — Lc The DreamKid Swahili Copy Share Image
Uzuri uonekanao machoni, katu haufanani na uzuri uonekanao moyoni.. — Lc The DreamKid Swahili Copy Share Image
Kwa kuwa mpenzi wako ndio chaguo lako, jihadhari, usije ukamtupa. — Lc The DreamKid Love Copy Share Image