Maisha ya uhakika tuishio ni yale tuishio pamoja na nafsi zetu na sio tuwapo mbele za watu. — Lc The DreamKid Copy Share Image
Saa moja ukaayo na maumivu ni refu kuliko siku nzima iliyo na furaha. — Lc The DreamKid Copy Share Image
Kujiepusha na kidogo chenye kuumiza ni bora, kuliko kuwa na kingi chenye kukufurahisha. — Lc The DreamKid Copy Share Image
Tunaishi duniani hali ya kutenda maovu usiku na mchana na kudhani kuwa tutaipata pepo hali ya kusahau kuwa Adam kosa moja tu ndilo lililomtoa… — Lc The DreamKid Copy Share Image
I gotta make a move, I gotta do this now, if they don't know my dreams, then they can't shoot 'em down! — Lc The DreamKid Copy Share Image
Mwenye kujidhulumu ni yule ajiwekae karibu na mtu anaemtenga, na kumnyeyekea amdhalilishae.. — Lc The DreamKid Copy Share Image