Swahili Quote by Bob Riza Download Open image “Binadamu wote ni sawa haijalishi rangi, kabila au utaifa” — Bob Riza ★ ★ ★ ★ ★ 3.2 out of 5 (5 ratings) Copy quoteShare Swahili
HaijalishI UnamuonekanOganI, yOTE ni Kazi Ya MUNGU. so, JIKUBALI. @All…!!!! — Daudi Bilingi Copy Share Image
Kwa mara nyingi, Kutoa nasaha baada ya tukio, ni sawa na kumpa majeruhi (mgonjwa) dawa baada ya kifo. — Lc The DreamKid Copy Share Image
Hata raisi naye huwa anaenda msalani na anafurahi au kununa kama mtu wa kawaida — Bob Riza Copy Share Image
“Baada ya Adam na Hawa kutenda dhambi katika bustani ya Edeni, kila mtu anayezaliwa anazaliwa katika dhambi. Kwa hiyo dhambi hutokana na maisha, na… — Enock Maregesi Copy Share Image
Kuusikitikia sana muda uliopita ni dalili tosha ya kuwa hatuujali wakati tulionao. — Lc The DreamKid Copy Share Image
“Watu wanaohatarisha maisha yao kwa kudharau sheria wakati mwingine hawatakiwi kudharauliwa. Ni sawa na mtu aliyepoteza kila kitu katika maisha yake. Wana uwezo wa… — Enock Maregesi Copy Share Image
Terkadang kita menjalin hubungan cuma hanya meminta . Tapi kita ga tau apa artinya memberi — Anonymous Copy Share Image
Mchawi ni mjinga siku zote kwa kuwa haibi mali bali anakutesa tu hata kama ni masikini — Bob Riza Copy Share Image
Mchawi ni mjinga siku zote kwa kuwa haibi mali bali anakutesa tu hata kama ni masikini — Bob Riza Copy Share Image
“For the rest of my life, Zanzibar will be the Swahili word for rain. The rain would drizzle, spit, mist, downpour, shower, torrent, gust,… — Kristine K. Stevens Copy Share Image
Kujiepusha na kidogo chenye kuumiza ni bora, kuliko kuwa na kingi chenye kukufurahisha. — Lc The DreamKid Copy Share Image
Tunaishi duniani hali ya kutenda maovu usiku na mchana na kudhani kuwa tutaipata pepo hali ya kusahau kuwa Adam kosa moja tu ndilo lililomtoa… — Lc The DreamKid Copy Share Image