Swahili Quote by Bob Riza Download Open image “Imani ipo moyoni na sio machoni” — Bob Riza ★ ★ ★ ★ ★ 2.4 out of 5 (7 ratings) Copy quoteShare Swahili
Uzuri uonekanao machoni, katu haufanani na uzuri uonekanao moyoni.. — Lc The DreamKid Copy Share Image
“mnogi koje znam peru čaše u jeftinim barovima i ovde i tamo a noću pišu poeziju nadaju se sigurnom životu ali nema sigurnosti nema… — Vitomirka Trebovac Copy Share Image
Saa moja ukaayo na maumivu ni refu kuliko siku nzima iliyo na furaha. — Lc The DreamKid Copy Share Image
“Na kraju krajeva, možda ništa nije potpuno slučajno. Možda se neki događaji moraju dogoditi, pošto-poto.” — Guillaume Musso Copy Share Image
“Tengeneza maisha ya mwanao kwa kuongea naye maneno mazuri anapokuwa tumboni mwako, na anapokuwa ananyonya akikuangalia machoni.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mtu akikupa pesa kwa ajili ya kufanyia kitu kibaya chukua. Kisha ipeleke polisi, ambapo utatoa taarifa zake pia.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Unapokuwa na matatizo makubwa katika maisha, Shetani anakuandama sana, Mungu ana mpango maalumu na maisha yako.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Odreci ga se.Nikad nećete biti sretni zajedno.Ne mogu,kao što ne mogu ni prestati disati.” — Kate Furnivall Copy Share Image
Mchawi ni mjinga siku zote kwa kuwa haibi mali bali anakutesa tu hata kama ni masikini — Bob Riza Copy Share Image
Mchawi ni mjinga siku zote kwa kuwa haibi mali bali anakutesa tu hata kama ni masikini — Bob Riza Copy Share Image
“For the rest of my life, Zanzibar will be the Swahili word for rain. The rain would drizzle, spit, mist, downpour, shower, torrent, gust,… — Kristine K. Stevens Copy Share Image
Kujiepusha na kidogo chenye kuumiza ni bora, kuliko kuwa na kingi chenye kukufurahisha. — Lc The DreamKid Copy Share Image
Tunaishi duniani hali ya kutenda maovu usiku na mchana na kudhani kuwa tutaipata pepo hali ya kusahau kuwa Adam kosa moja tu ndilo lililomtoa… — Lc The DreamKid Copy Share Image