Swahili Quote by Bob Riza Download Open image “Asilimia 99.5% tuna dhambi” — Bob Riza ★ ★ ★ ★ ★ 2.2 out of 5 (6 ratings) Copy quoteShare Swahili
“Injili tunayohubiriwa haina ugumu wowote. Mungu anatutaka tuamini na tunapoamini, tunapopata ufahamu na kuamini kuwa Mwana wa Mungu alikuwa binadamu kama sisi ili sisi… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Tunapenda kuamini kwa sababu kuamini hurahisisha mambo… Usiamini. Jua.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Tunazaliwa na kufa. Lakini hatujui tunakotoka. Wala hatujui tunakokwenda. Huenda tunatoka na kwenda katika dunia nyingine, ya ulimwengu mwingine, hivyo kutufanya wageni wa dunia… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Tunapaswa kuyafikiria madhaifu yetu na dhambi zetu kwa makini sana, kwa kiasi cha kuyashinda madhaifu hayo na dhambi hizo, kabla hatujatoa maamuzi makali dhidi… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Metabolitul 1.25D supravietuieste doar intre 6 si 8 ore. Vitamina D in forma ei de depozitare supravietuieste 20 de zile si chiar mai mult.… — Colin Campbell Copy Share Image
Albacore tuna has a mild flavor that's delicious served raw or seared briefly on the outside so that it's still rare on the inside. — Tom Douglas Copy Share Image
“Mapenzi, kama ilivyo kwa vitu vyote hapa ulimwenguni, hayawezi kuwepo bila kujumuishwa na fizikia na kemia yake! Bila kemia hakuna mapenzi ya kudumu. Tamaa… — Enock Maregesi Copy Share Image
Good asparagus needs minimal treatment and is best eaten with few other ingredients. — Yotam Ottolenghi Copy Share Image
“Licha ya matatizo yanayotokea tunapaswa kujua kwa imani kwamba Mungu asiyeonekana na mwenye nguvu bado yuko kwenye kiti chake cha enzi, akisimamia kila kitu… — Enock Maregesi Copy Share Image
“The only other nutrients low or borderline low with a diet without animal products are B12, zinc, iodine, and the marine fats eicosapentaenoic acid… — Joel Fuhrman Copy Share Image
“Shetani naye anamtumia Mungu kama wakala wake wa kutoa adhabu kwa binadamu kwa sababu Shetani siku hizi anaishi makanisani na misikitini. Anamtumia Mungu kwa… — Enock Maregesi Copy Share Image
Mchawi ni mjinga siku zote kwa kuwa haibi mali bali anakutesa tu hata kama ni masikini — Bob Riza Copy Share Image
Mchawi ni mjinga siku zote kwa kuwa haibi mali bali anakutesa tu hata kama ni masikini — Bob Riza Copy Share Image
“For the rest of my life, Zanzibar will be the Swahili word for rain. The rain would drizzle, spit, mist, downpour, shower, torrent, gust,… — Kristine K. Stevens Copy Share Image
Kujiepusha na kidogo chenye kuumiza ni bora, kuliko kuwa na kingi chenye kukufurahisha. — Lc The DreamKid Copy Share Image
Tunaishi duniani hali ya kutenda maovu usiku na mchana na kudhani kuwa tutaipata pepo hali ya kusahau kuwa Adam kosa moja tu ndilo lililomtoa… — Lc The DreamKid Copy Share Image