Swahili Quote by Bob Riza Download Open image “Lazima uwe na nywele ili uweze kunyoa” — Bob Riza ★ ★ ★ ★ ★ 2.8 out of 5 (7 ratings) Copy quoteShare Swahili
“Mwandishi lazima awe msomaji wa kila aina ya maandishi anayoweza kusoma. Akipanua upeo wake namna hiyo, kila atakachoandika kitaacha nukuu.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Hutaweza kufikia malengo yako kikamilifu bila msaada wa wataalamu – Hata kama una kipaji au ujuzi kiasi gani.” — Enock Maregesi Copy Share Image
Tungo ni safi nzuri, ahsantuu Utunzi huna dosari, wewe juu Waenda njema safari, ya majuu Hassani wewe hodari, ni mkuu Beti zanukia wazi, karafuu… — Bakari A Ali Reading UK Copy Share Image
Safari ya mipango na malengo katika maisha ni ndefu, lakini lazima ufike kwa uwezo wa YEYE MUWEZA wa YOTE… By Daudi Bilingi. a.k.a DAV… — Daudi Bilingi Copy Share Image
“Shetani hawezi kuona wala kusikia kinachoendelea ndani ya moyo wako.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Utajiri una changamoto nyingi. Yesu alisema ni rahisi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu. Hakusema msomi.… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Har' icyumba satani atemerewe kujyamo n'umutima wawe kereste wowe umwemereye” — Dr Paul Gitwaza Copy Share Image
“Kun ihminen on yhdeksänkymmentäyksi, parasta mitä uskaltaa toivoa on se, että olisi hyvin säilynyt. Mikä tarkoittaa, että näyttää säilykkeeltä.” — Kamila Shamsie Copy Share Image
“Maombi yako yasipojibiwa usikate tamaa, Mungu alishakusikia na tayari alishaandaa malaika wa kukuletea jibu. Jibu wakati mwingine huchelewa kufika kwa sababu ya nguvu za… — Enock Maregesi Copy Share Image
Mchawi ni mjinga siku zote kwa kuwa haibi mali bali anakutesa tu hata kama ni masikini — Bob Riza Copy Share Image
Mchawi ni mjinga siku zote kwa kuwa haibi mali bali anakutesa tu hata kama ni masikini — Bob Riza Copy Share Image
“For the rest of my life, Zanzibar will be the Swahili word for rain. The rain would drizzle, spit, mist, downpour, shower, torrent, gust,… — Kristine K. Stevens Copy Share Image
Kujiepusha na kidogo chenye kuumiza ni bora, kuliko kuwa na kingi chenye kukufurahisha. — Lc The DreamKid Copy Share Image
Tunaishi duniani hali ya kutenda maovu usiku na mchana na kudhani kuwa tutaipata pepo hali ya kusahau kuwa Adam kosa moja tu ndilo lililomtoa… — Lc The DreamKid Copy Share Image