Tungo ni safi nzuri, ahsantuu Utunzi huna dosari, wewe juu Waenda njema safari, ya majuu Hassani wewe hodari, ni mkuu Beti zanukia… — Bakari A Ali Reading UK Uknown Copy Share Image