Air Quote by Enock Maregesi
““Usipoangalia kwa undani sana, mapepo wanatutawala kwa sababu hatuna uwezo wa kuwaona. Aidha, wanaweza, bila hata sisi kujua, kuwasiliana nasi kimawazo na kitabia kupitia hewa hiihii inayotusaidia katika kuishi. Watu wengi katika dunia hii hawajui kama wanadanganywa au walishadanganywa tayari. Shetani na mapepo wake hawataki tujue kama wanatudanganya au wameshatudanganya tayari, na hawataki tujue kama wako hapa kwa ajili ya kutudanganya sisi. Tunajua tu kwa sababu Neno la Mungu hudhihirisha ukweli huu kupitia Roho Mtakatifu na malaika wema, na tunauamini. Licha ya hili jambo kutokea katika maisha yetu, Shetani bado anaweza kutudanganya hadi pale tutakapoerevuka kwa kiasi cha kutosha kuhakikisha kwamba udanganyifu huo hautatokea tena.””
About This Quote
Source Sermon: Unknown, 2020
Spiritual deception can be subtle, but divine truth revealed through Holy Spirit exposes it and guides believers to vigilance.
In simple terms: Evil hides, truth reveals.
Rely on Scripture and Holy Spirit to discern deception.
Themes
Mood
Type
When to use this quote
- personal prayer
- church teaching
- counseling
- community accountability
Key Concepts
Questions to Reflect On
- How do you test spiritual claims?
- What practices keep you grounded?
Even with divine guidance, personal bias can blind perception.