Skip to content

Axis Quote by Enock Maregesi

“Dunia huzunguka kwenye mhimili wake na huzunguka jua. Jua huzunguka kwenye mhimili wake na huzunguka falaki. Dunia hutumia takriban siku moja kuzunguka kwenye mhimili wake, na hutumia takriban mwaka mmoja kuzunguka jua. Jua hutumia takriban siku ishirini na tano kuzunguka kwenye mhimili wake, na…” quote by Enock Maregesi
Download Open image
““Dunia huzunguka kwenye mhimili wake na huzunguka jua. Jua huzunguka kwenye mhimili wake na huzunguka falaki. Dunia hutumia takriban siku moja kuzunguka kwenye mhimili wake, na hutumia takriban mwaka mmoja kuzunguka jua. Jua hutumia takriban siku ishirini na tano kuzunguka kwenye mhimili wake, na hutumia takriban miaka milioni mia mbili na hamsini kuzunguka falaki. Yoshua alisimamisha jua ili lisizunguke kwenye mhimili wake na lisizunguke falaki. Kwa sababu jua lilisimama, kila kitu kilichoathiriwa na jua hilo kilisimama pia ikiwemo dunia. Hata hivyo, kwa sababu tukio la Yoshua kusimamisha jua na mwezi yalikuwa maajabu kutoka kwa malaika wema, malaika wema ndiyo wanaojua kwa hakika nini kilitokea. Yoshua alikuwa sahihi kusema jua lisimame si dunia isimame. Mungu aliweza kusimamisha jua kwa ajili ya Yoshua kuwashinda maadui zake, kwa sababu aliamini. Mungu anaweza kusimamisha jua kwa ajili yako kuwashinda maadui zako, ukiamini. Mungu anapokuwa na wewe matatizo yako yako matatizoni.””

Enock Maregesi

About This Quote

The passage describes how the sun and Earth move in relation to each other and how a divine act halted the sun’s motion, symbolizing faith‑based intervention to overcome obstacles.

In simple terms: It explains celestial cycles and a spiritual claim that God stopped the sun for a person’s victory.

Key Takeaway

Faith can empower decisive action against challenges.

Themes

faith spirituality cosmology agency divine intervention

Mood

hopeful reflective

Type

inspirational theological

When to use this quote

  • personal struggle
  • spiritual practice
  • overcoming adversity
  • leadership
  • faith‑based decision making

Key Concepts

celestial mechanics theology miracle narrative

Questions to Reflect On

  • How does belief influence your response to obstacles?
  • What role does divine agency play in your life?
A Different Perspective

The claim mixes metaphor with literal astronomy, which may be scientifically inaccurate.

3.6 out of 5 (8 ratings)

More by Enock Maregesi

Explore all 471 Enock Maregesi quotes

More Axis quotes

Browse all 25 Axis quotes