Skip to content

Adui Quote by Enock Maregesi

“Nyoka ni mnyama mdogo lakini anayeogopwa hata na majambazi wakubwa. Adui wa dirishani alipogeuka kumwangalia Murphy, alimwangalia pia mwenzake na kucheka bila Murphy kujua kilichofanya wafurahi. Ghafla, kuna kitu kilitokea! Nyoka mkubwa aina ya swila aliruka toka dirishani na kuanguka katika…” quote by Enock Maregesi
Download Open image
““Nyoka ni mnyama mdogo lakini anayeogopwa hata na majambazi wakubwa. Adui wa dirishani alipogeuka kumwangalia Murphy, alimwangalia pia mwenzake na kucheka bila Murphy kujua kilichofanya wafurahi. Ghafla, kuna kitu kilitokea! Nyoka mkubwa aina ya swila aliruka toka dirishani na kuanguka katika mabega ya yule adui. Adui aliruka kwa woga na kuanguka chini … halafu yakatokea maajabu! Bunduki ilifyatuka kutoka nje, ikaripuka kwa sauti ya juu, walinzi wote wa Murphy wakaruka na kuanguka chini shaghalabaghala, na kufa papo kwa papo!””

Enock Maregesi

About This Quote

A small snake, frightened by larger predators, is startled when a bigger snake attacks, causing chaos and an unexpected explosion of gunfire that leads to sudden deaths.

In simple terms: Fearful creatures cause chaos when threatened, leading to sudden violent outcomes.

Key Takeaway

Beware of escalating fear and its sudden consequences.

Themes

fear chaos violence unexpected events

Mood

tense dramatic alarming

Type

storytelling dramatic narrative

When to use this quote

  • military patrols
  • wildlife encounters
  • combat zones
  • high‑stress environments

Key Concepts

psychology conflict escalation sudden death

Questions to Reflect On

  • How does fear amplify reactions?
  • What can prevent sudden violent escalations?
A Different Perspective

The narrative may exaggerate cause‑effect, lacking realistic plausibility.

4.7 out of 5 (10 ratings)

More by Enock Maregesi

Explore all 471 Enock Maregesi quotes

More Adui quotes

Browse all 8 Adui quotes