Skip to content

Debbie-patrocinio-abrego Quote by Enock Maregesi

“Majambazi huwapenda wanaowapenda. Chukulia mfano huu: Mimi na Wanda ni marafiki, OK? Baba yake, au genge la baba yake, hataweza kunidhuru au kuwadhuru watu ninaowapenda kwa sababu tu ya urafiki na mtoto wake. Na yeye anaweza kufumbiwa macho akifanya makosa kwa sababu mimi na mtoto wake ni marafiki…” quote by Enock Maregesi
Download Open image
““Majambazi huwapenda wanaowapenda. Chukulia mfano huu: Mimi na Wanda ni marafiki, OK? Baba yake, au genge la baba yake, hataweza kunidhuru au kuwadhuru watu ninaowapenda kwa sababu tu ya urafiki na mtoto wake. Na yeye anaweza kufumbiwa macho akifanya makosa kwa sababu mimi na mtoto wake ni marafiki wakubwa. Murphy, hapa Meksiko tuna kitu kinaitwa Bima ya Utekaji Nyara ('Ransom Insurance'). Zamani nilikuwa nalipa dola milioni kumi za Marekani kama bima ya utekaji nyara; Lisa alikuwa analipa milioni nne na Wanda bado analipa milioni mbili mpaka sasa hivi. Baada ya mimi na Lisa kujenga urafiki na Wanda, malipo yetu ya bima yamepungua mpaka dola milioni moja kwa mwaka.””

Enock Maregesi

About This Quote

The speaker describes a friendship that protects against harm and reduces costly insurance through mutual support.

In simple terms: Friendship can lower risks and expenses.

Key Takeaway

Cultivate strong, protective friendships.

Themes

friendship risk management community solidarity financial security

Mood

reflective pragmatic

Type

advice personal narrative

When to use this quote

  • family disputes
  • business partnerships
  • community safety nets
  • insurance negotiations

Key Concepts

social bonds mutual aid insurance economics

Questions to Reflect On

  • How can you strengthen protective relationships?
  • What limits exist in relying on friendships for risk mitigation?
A Different Perspective

Friendship may not always prevent all harms or legal liabilities.

2.8 out of 5 (3 ratings)

More by Enock Maregesi

Explore all 471 Enock Maregesi quotes

More Debbie-patrocinio-abrego quotes

Browse all 10 Debbie-patrocinio-abrego quotes