39 Quote by Enock Maregesi
““Ningependa kujitokeza leo kutoa salamu zangu za rambirambi kwa Watu wa Musoma; kutokana na ajali mbaya ya mabasi ya J4 Express, Mwanza Coach, na gari ndogo aina Nissan Terrano, iliyotokea Ijumaa tarehe 5/9/2014 katika eneo la Sabasaba mjini Musoma. Kulingana na vyombo vya habari, watu 39 wamefariki dunia. Wengine wengi wamejeruhiwa vibaya. Mali za mamilioni ya fedha zimeteketea kabisa. Hii ni ajali mbaya na ya kusikitisha mno kwa maana halisi ya maneno mabaya na ya kusikitisha. Maneno hayataweza kuelezea kikamilifu huzuni niliyonayo juu ya ajali hii ya kutisha, lakini Mungu awasaidie wale wote waliofiwa au walioguswa na ajali hiyo kwa namna yoyote ile, na awasamehe marehemu wote dhambi zao na awapumzishe mahali pema peponi. Wale wote waliofariki hawataweza kurudi huku, lakini sisi tutakwenda huko.””
About This Quote
A heartfelt lament over a tragic bus accident in Musoma, expressing grief for the loss of many lives, the devastation of property, and a prayer for the deceased and injured.
In simple terms: Grief and prayer after a fatal accident.
Tragedy prompts collective mourning and hope for divine comfort.
Themes
Mood
Type
When to use this quote
- After a transport disaster
- During a public memorial
- In a news report about a crash
- When consoling victims' families
- In a community gathering
Key Concepts
Practical Applications
- Condolence messages
- Memorial services
Questions to Reflect On
- How does collective mourning help a community heal?
- What role does faith play in coping with tragedy?