Skip to content

Agreement Quote by Enock Maregesi

“Ndoto za wachawi ni tofauti kidogo na ndoto takatifu. Wachawi wanapokuwa hawahitaji kusafiri kutoka sehemu moja kwenda nyingine, lakini wana hamu ya kuona wenzao wanafanya nini au wanasema nini, huwa wanalala ubavu mmoja upande wa kushoto kwa jina la mungu wao na la mashetani wote. Kisha wanatoa…” quote by Enock Maregesi
Download Open image
““Ndoto za wachawi ni tofauti kidogo na ndoto takatifu. Wachawi wanapokuwa hawahitaji kusafiri kutoka sehemu moja kwenda nyingine, lakini wana hamu ya kuona wenzao wanafanya nini au wanasema nini, huwa wanalala ubavu mmoja upande wa kushoto kwa jina la mungu wao na la mashetani wote. Kisha wanatoa mvuke wa bluu midomoni mwao. Kupitia mvuke huo, kwa nguvu za Shetani na kwa ruhusa ya Mwenyezi Mungu, wataona na watasikia kila kinachofanyika upande wa pili. Kile wanachotaka kukiona na kukisikia hujifunua katika ufahamu wao kama taswira au maono, kutoka katika akili isiyotambua, ya watu wakifanya au wakisema kitu. Kama wanataka kujua siri za watu wengine, hata wale ambao si wachawi, watazijua kupitia ndoto hizo; kwa sababu ya makubaliano ya wazi, si ya siri, waliyoingia na Shetani. Makubaliano hayo si ya lelemama; yaani yale ambayo hufanywa kwa kutoa kafara ya mnyama, au kufuru ya aina yoyote ile kwa Mwenyezi Mungu, au kwa kuabudu dini za kichawi. Lakini ni kwa sadaka halisi ya wao wenyewe ya mwili na roho kwa Shetani na kwa kufuru ya kuikana kabisa, imani ya Mwenyezi Mungu. Lakini hiyo ni kwa wale wanaotumia uchawi wa kishetani. Wale wanaotumia uchawi wa asili, kama vile kutumia risasi kumroga mtu kwa sababu risasi mungu wake ni sayari ya Zohali, au wale walioingia mkataba wa siri na Shetani, hawana uwezo wa kuota hivyo. Hivyo, si kila mchawi anaweza kuota ndoto za namna hiyo, ni kwa wale tu walioingia mkataba wa wazi na Shetani.””

Enock Maregesi

About This Quote

Source Essay: Dream Interpretation and Spiritual Practices, Enock Maregesi, 2018

The passage describes how dreamers (witches) use supernatural means to gain hidden knowledge, involving both divine and demonic forces, and emphasizes the need for explicit pacts with evil entities to access such visions.

In simple terms: Dreams can be used to learn secrets through spiritual deals.

Key Takeaway

Beware of seeking knowledge through harmful pacts.

Themes

spirituality folklore ethics

Mood

cautious reflective

Type

philosophical cautionary

When to use this quote

  • rituals
  • personal decision making
  • cultural studies

Key Concepts

dream analysis supernatural contracts

Questions to Reflect On

  • What ethical limits should guide spiritual pursuits?
  • How do cultural beliefs shape our view of hidden knowledge?
A Different Perspective

Reliance on such practices can lead to moral danger.

4.9 out of 5 (3 ratings)

More by Enock Maregesi

Explore all 471 Enock Maregesi quotes

More Agreement quotes

Browse all 1,138 Agreement quotes