Skip to content

Artists Quote by Enock Maregesi

“Kamera ina athari kubwa sana katika maisha yetu. Inaweza kuharibu taswira ya mtu mbele ya jamii, na inaweza kuharibu maisha ya mtu hali kadhalika. Wasanii wakubwa duniani hawatoki ndani bila ya kuwa nadhifu au bila ya kujipodoa. Kwa nini? Kwa sababu ya wasanii wao wa vipodozi. Wasanii wao wa…” quote by Enock Maregesi
Download Open image
““Kamera ina athari kubwa sana katika maisha yetu. Inaweza kuharibu taswira ya mtu mbele ya jamii, na inaweza kuharibu maisha ya mtu hali kadhalika. Wasanii wakubwa duniani hawatoki ndani bila ya kuwa nadhifu au bila ya kujipodoa. Kwa nini? Kwa sababu ya wasanii wao wa vipodozi. Wasanii wao wa vipodozi hawataki waajiri wao wawe na taswira mbaya mbele ya wateja wao ambayo ni jamii. Kuwa na taswira mbaya mbele ya jamii kunaweza kusababisha wao (wasanii wa vipodozi) pamoja na waajiri wao, wasiishi vizuri hapa duniani kama wanavyotaka. Kioo ni kitu au mtu. Kama huna uwezo wa kumiliki vipodozi, miliki kioo. Kama huna uwezo wa kumiliki kioo, miliki rafiki. Kioo (hasa kitu) hakina unafiki. Usitoke ndani bila kuridhika na taswira yako.””

Enock Maregesi

About This Quote

Source Speech: Public commentary on media influence, Sw, 2023

Media image shapes personal and professional life; negative perception harms both artist and employer.

In simple terms: Image affects success; protect reputation.

Key Takeaway

Guard your public image.

Themes

reputation media career society

Mood

reflective cautious

Type

advice philosophical

When to use this quote

  • artist promotion
  • employment
  • public relations
  • personal branding

Key Concepts

image management social perception

Questions to Reflect On

  • How do you manage your online image?
  • What steps can you take to improve reputation?
A Different Perspective

Image control is limited by public opinion and platform algorithms.

3.4 out of 5 (10 ratings)

More by Enock Maregesi

Explore all 471 Enock Maregesi quotes

More Artists quotes

Browse all 1,608 Artists quotes