Skip to content

Drop Quote by Enock Maregesi

“Unapofikia hatua ya kuwa na kila kitu katika maisha, unapokuwa umefanya kila kitu ulichotamani kufanya katika maisha, unakuwa na bahari nzima ndani ya tone ambalo ni wewe. Unaridhika. Wewe si tone tena ndani ya bahari, wewe ni bahari ndani ya tone. Kinachobaki baada ya hapo ni kusaidia jamii…” quote by Enock Maregesi
Download Open image
““Unapofikia hatua ya kuwa na kila kitu katika maisha, unapokuwa umefanya kila kitu ulichotamani kufanya katika maisha, unakuwa na bahari nzima ndani ya tone ambalo ni wewe. Unaridhika. Wewe si tone tena ndani ya bahari, wewe ni bahari ndani ya tone. Kinachobaki baada ya hapo ni kusaidia jamii iliyosaidia kukulea ulipokuwa mdogo, kuacha alama katika dunia kabla na baada ya wewe kuondoka, bila kujali watu watasema nini juu ya maisha yako.””

Enock Maregesi

About This Quote

Source Speech: Motivational talk, date unknown

Achieving everything leads to feeling like an ocean within a wave, then realizing you are the ocean and can help others after you leave.

In simple terms: Having all you want makes you feel whole, then you become a source for others.

Key Takeaway

Recognize your abundance and give back.

Themes

self-actualization gratitude legacy community humility

Mood

reflective inspirational

Type

philosophical motivational

When to use this quote

  • personal growth
  • leadership
  • mentorship
  • philanthropy
  • posthumous impact

Key Concepts

existential fulfillment interconnectedness service

Questions to Reflect On

  • How can you measure true fulfillment beyond possessions?
  • What steps can you take to serve others now?
A Different Perspective

Your sense of self may still be limited despite material success.

3.1 out of 5 (6 ratings)

More by Enock Maregesi

Explore all 471 Enock Maregesi quotes

More Drop quotes

Browse all 603 Drop quotes