Skip to content

Adui Quote by Enock Maregesi

“Vita ya Shetani na Mungu inatuathiri zaidi sisi wanadamu – na hapo baadaye itamuathiri Shetani pia. Vita hii haiwezi kuisha hadi siku ya mwisho, Yesu Kristo atakaporudi kuwachukua wateule wake. Pambana kwa njia ya maombi hadi siku ya mwisho kwa sababu adui tunayepambana naye hana muda wa…” quote by Enock Maregesi
Download Open image
““Vita ya Shetani na Mungu inatuathiri zaidi sisi wanadamu – na hapo baadaye itamuathiri Shetani pia. Vita hii haiwezi kuisha hadi siku ya mwisho, Yesu Kristo atakaporudi kuwachukua wateule wake. Pambana kwa njia ya maombi hadi siku ya mwisho kwa sababu adui tunayepambana naye hana muda wa kupumzika. Pambana kujiombea na kuwaombea wengine waliohai, na hata wale ambao bado hawajazaliwa, kabla mafuta ya dunia hii hayajalipuka. Usiishi kama adui wa msalaba wa Yesu Kristo, badala yake, ishi kama rafiki wa msalaba wa Yesu Kristo. Kuishi kama rafiki wa msalaba wa Yesu Kristo ni kupinga majivuno yote ya Shetani kwa upendo uliotukuka wa kujishusha au kujidharirisha, kutokutetereka hata kidogo na tamaa za ulimwengu huu kwa upendo mkubwa wa umaskini, na kutokuyumba wakati wa matatizo kwa sababu wakati wa amani ulijilimbikizia imani.””

Enock Maregesi

About This Quote

Source Sermon: Christian preaching, unknown date

The struggle between good and evil continues until Christ returns; believers must fight with prayer, love, and humility, rejecting worldly greed and despair.

In simple terms: Eternal battle of good vs evil, fight with prayer and love.

Key Takeaway

Pray, love, and reject greed.

Themes

faith spiritual warfare humility love perseverance

Mood

hopeful determined reflective

Type

inspirational theological motivational

When to use this quote

  • daily prayer
  • supporting others
  • living modestly
  • resisting materialism

Key Concepts

Christian eschatology prayer self‑sacrifice

Questions to Reflect On

  • How can you embody Christ’s love today?
  • What does humility look like in your life?
A Different Perspective

Faith alone may not end suffering; practical action needed.

3.4 out of 5 (10 ratings)

More by Enock Maregesi

Explore all 471 Enock Maregesi quotes

More Adui quotes

Browse all 8 Adui quotes