“Kama Shetani hawezi kulala sisi tutalalaje? Pambana hadi siku ya mwisho.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Vita ya Shetani na Mungu inatuathiri zaidi sisi wanadamu – na hapo baadaye itamuathiri Shetani pia. Vita hii haiwezi kuisha hadi siku ya mwisho, Yesu Kristo atakaporudi kuwachukua wateule wake. Pambana kwa njia ya maombi hadi siku ya mwisho kwa… — Enock Maregesi Copy Share Image