Atmosphere Quote by Enock Maregesi
““Kabla ya uasi, Mungu alimpa Shetani na wasaidizi wake ambao ni mapepo mamlaka makubwa juu ya kila kitu hapa duniani; kuanzia angahewa la dunia hadi ardhi ya dunia nzima nasi wakazi wake tukijumuishwa. Abadani tusisahau kwamba, kwa kiasi kikubwa, kupambana kwetu kama Paulo anavyosema ni dhidi ya hawa mapepo na mfalme wao ambaye ni Shetani. Tunaishi katika eneo ambapo hata wao wanaishi. Hawa mapepo wabaya huwatumia maadui wa msalaba wa Yesu Kristo kutekeleza mipango yao kwa lengo la kuwaangamiza marafiki wote wa msalaba wa Yesu Kristo, wanashawishiwa kwa kiasi kikubwa na hizo mamlaka za kimapepo, na kwa sababu wamedanganywa, hawajui hata kidogo kama Shetani anawatumia! Inawezekana hawajatwaliwa na mapepo lakini wanashawishiwa na mapepo kutenda kinyume na mapenzi ya Mungu kwa wanadamu wote.””
About This Quote
The passage warns that demonic powers dominate the world, urging believers to resist these forces as taught by Paul, highlighting spiritual warfare.
In simple terms: Demonic forces dominate; believers must resist as Paul taught.
Stand firm against spiritual oppression.
Themes
Mood
Type
When to use this quote
- prayer
- community support
- evangelism
Key Concepts
Questions to Reflect On
- What strategies strengthen spiritual resistance?
- How does community aid in this fight?
Resistance may be dangerous in hostile environments.