Skip to content

Alms Quote by Enock Maregesi

“Pesa itolewe kwa masharti au bila masharti chukua, kwani huyo aliyeitoa si yake. Benki, kwa mfano, ikitaka kukupa mkopo itakuwa na masharti yake; chukua, iwapo utakubaliana na masharti hayo. Jambazi akikupa pesa ili ukafanyie ujambazi chukua pia. Lakini hiyo usiipeleke kanisani, ipeleke…” quote by Enock Maregesi
Download Open image
““Pesa itolewe kwa masharti au bila masharti chukua, kwani huyo aliyeitoa si yake. Benki, kwa mfano, ikitaka kukupa mkopo itakuwa na masharti yake; chukua, iwapo utakubaliana na masharti hayo. Jambazi akikupa pesa ili ukafanyie ujambazi chukua pia. Lakini hiyo usiipeleke kanisani, ipeleke serikalini. Serikali itajua jinsi ya kupambana na huyo aliyekupa hiyo pesa, na hiyo pesa itaendelea kuimarisha ulinzi na usalama nchini. Pesa kuendelea kuimarisha ulinzi na usalama nchini ni sawa na zaka, au sadaka, na wewe utabarikiwa kwa kupata nyingine.””

Enock Maregesi

About This Quote

Accept money only under conditions you agree to; otherwise, it becomes a burden that can be used against you.

In simple terms: Take money with terms you accept, not without.

Key Takeaway

Agree to terms before accepting funds.

Themes

finance ethics risk politics security

Mood

cautious reflective

Type

advice warning

When to use this quote

  • personal finance
  • business negotiations
  • government loans
  • charitable donations

Key Concepts

contractual obligation power dynamics state control

Questions to Reflect On

  • Do you always read the fine print?
  • How can you protect yourself from hidden obligations?
A Different Perspective

If terms are unclear, you may be exploited later.

2.3 out of 5 (6 ratings)

More by Enock Maregesi

Explore all 471 Enock Maregesi quotes

More Alms quotes

Browse all 124 Alms quotes