Ability Quote by Enock Maregesi
““Kumwamini Mwenyezi Mungu wakati wa raha ni rahisi kuliko kumwamini Mwenyezi Mungu wakati wa shida, na utahitaji imani kuendelea kumwamini wakati wa dhiki. Vipindi vigumu katika maisha yetu hutokea kwa kila mmoja wetu. Kuamini ya kwamba Mungu ana makusudi ya lazima kukuondolea vikwazo katika maisha yako ni vigumu sana wakati mwingine, lakini imani ndicho kitu cha muhimu zaidi unachotakiwa kuwa nacho katika kipindi hiki ambacho dunia imekata tamaa. Amani ya Mungu, ambayo huzidi hekima na maarifa yote ya kibinadamu, ni kuliamini neno la Mungu kwamba ni la kweli. Bila imani hutaweza kumfurahisha Mungu. Imani ni ufunguo wa nguvu, uwezo na neema ambavyo Mungu ametupangia. Kwa ufupi, Mungu ni mkubwa kuliko wewe na matatizo yako.””
About This Quote
Source Speech: Religious sermon, unknown venue, 2020
Faith is harder to maintain in hardship, yet it is essential for resilience and peace; trusting divine purpose helps endure trials.
In simple terms: Faith is hard in hardship but essential.
Cultivate trust in higher purpose during tough times.
Themes
Mood
Type
When to use this quote
- personal crises
- health challenges
- financial setbacks
- relationship difficulties
Key Concepts
Questions to Reflect On
- How can you balance faith with practical steps?
- What supports sustain your belief in hardship?
Faith alone may not solve practical problems without action.