Adults Quote by Enock Maregesi
““Watoto wadogo wanakufa. Watu wazima wasiokuwa na hatia wanakufa vitani na katika majanga mengine ya asili. Kwa nini? Watoto wadogo wanaokufa walikuja duniani kufanya nini? Kwa nini watu wasiokuwa na hatia wanakufa ilhali Mungu yupo na asiwaepushe na matatizo ya dunia hii? Kama aliweza kuzuia binadamu wasiishi majini kwa sababu watakufa kwa nini asizuie matatizo yasiwapate watoto na watu wazima wasiokuwa na hatia? Sisi ni wadogo sana na Mungu ni mkubwa mno. Jibu hatutaweza kulielewa pamoja na kwamba tumepewa. Hata hivyo, Mungu hababaishwi na mwili. Anababaishwa na roho.””
About This Quote
The quote questions why innocent children and blameless adults die, questioning divine justice and the purpose of suffering in a world where God exists.
In simple terms: It wonders why good people suffer despite God's presence.
Reflect on the mystery of suffering and seek compassion.
Themes
Mood
Type
When to use this quote
- grief counseling
- theological study
- personal reflection
- community support
Key Concepts
Questions to Reflect On
- How do you reconcile personal loss with belief in a benevolent deity?
- What role does compassion play when faced with inexplicable suffering?
It may oversimplify complex theological concepts and ignore cultural contexts.