Skip to content

Abhorrence Quote by Enock Maregesi

“Mungu ni mtakatifu na kwa maana hiyo hatendi dhambi. Hivyo, hauwi wala hatesi. Tunajiua na kujitesa wenyewe. Ametupa hiari ya kuchagua mema au mabaya. Lakini anamtumia Shetani kama wakala wake wa kutoa adhabu kwa binadamu pale tunapoenenda sawasawa na machukizo yake. Damu ina nguvu kuliko Shetani…” quote by Enock Maregesi
Download Open image
““Mungu ni mtakatifu na kwa maana hiyo hatendi dhambi. Hivyo, hauwi wala hatesi. Tunajiua na kujitesa wenyewe. Ametupa hiari ya kuchagua mema au mabaya. Lakini anamtumia Shetani kama wakala wake wa kutoa adhabu kwa binadamu pale tunapoenenda sawasawa na machukizo yake. Damu ina nguvu kuliko Shetani na ina nguvu kuliko kuzimu. Unapojifunika kwa damu ya Mwanakondoo, Shetani hataweza kukuona. Hivyo, hataweza kukudhuru. Lakini usipojifunika kwa damu ya Mwanakondoo, Shetani atakuona. Hivyo, atakudhuru. Atakudhuru kwa sababu Mungu atakuwa ameruhusu akudhuru, kwa sababu ya uhuru wa kuchagua mema au mabaya aliotupatia, ijapokuwa ana uwezo wa kuzuia asikudhuru. Kwa mtindo huo Mungu anakuwa ametoa adhabu kwa binadamu.””

Enock Maregesi

About This Quote

Human actions are guided by free will; divine punishment is a choice, and blood can conceal or reveal one's fate.

In simple terms: Free will lets us choose good or evil; divine forces respond accordingly.

Key Takeaway

Choose wisely, knowing consequences follow.

Themes

free will divine justice spiritual warfare choice

Mood

contemplative serious

Type

theological philosophical

When to use this quote

  • personal decisions
  • ethical dilemmas
  • spiritual practices
  • conflict resolution

Key Concepts

theology morality consequences

Questions to Reflect On

  • Do you believe blood can shield you spiritually?
  • How does free will affect moral responsibility?
A Different Perspective

Interpretations of divine punishment vary.

4.3 out of 5 (4 ratings)

More by Enock Maregesi

Explore all 471 Enock Maregesi quotes

More Abhorrence quotes

Browse all 69 Abhorrence quotes