Askari-wa-kirumi Quote by Enock Maregesi
““Kabla ya kukata roho mapigo ya kasi ya moyo aliyoyapata Yesu kutokana na mshtuko wa hipovolimia, pia yalisababisha maji kujikusanya katika vifuko vya maji au ute kandokando ya moyo na kandokando ya mapafu. Mkusanyiko huu wa maji kandokando ya moyo hujulikana kama ‘pericardial effusion’ na mkusanyiko wa maji kandokando ya mapafu hujulikana kama ‘pleural effusion’. Hii ndiyo maana baada ya Yesu kukata roho, na askari wa Kirumi kurusha mkuki katika ubavu wake, baada ya kutoboa mapafu na moyo, damu na maji vilitoka katika mbavu za Yesu kama Yohana alivyorekodi katika Injili yake. Mapafu ya Yesu na tumbo la Yesu vilijaa damu na maji. Mkuki ulivyotupwa maji yalitoka katika mapafu ya Yesu na katika tumbo la Yesu, na katika utando unaozunguka moyo wa Yesu, kutokana na kupasuka kwa moyo.””
About This Quote
Source Sermon: Religious teaching, 2010
The narrative links Jesus’ crucifixion to medical conditions like pericardial and pleural effusion, illustrating symbolic bodily consequences.
In simple terms: Jesus’ death described using medical terms for symbolic effect.
Interpret symbolic language in religious texts.
Themes
Mood
Type
When to use this quote
- health education
- faith discussions
- literary critique
Key Concepts
Questions to Reflect On
- How do metaphors shape theological understanding?
- What is the role of scientific imagery in faith?
May conflate metaphor with literal medical facts.