Skip to content

Attitude Quote by Enock Maregesi

“Nukuu ya mwandishi wa vitabu wa Brazili, Paulo Coelho, "Tunapopenda tunajitahidi siku zote kuwa wazuri zaidi kuliko jinsi sisi wenyewe tulivyo. Tunapojitahidi kuwa wazuri zaidi kuliko jinsi sisi wenyewe tulivyo, kila kitu katika maisha yetu kinakuwa kizuri hali kadhalika.", inadhihirisha…” quote by Enock Maregesi
Download Open image
““Nukuu ya mwandishi wa vitabu wa Brazili, Paulo Coelho, "Tunapopenda tunajitahidi siku zote kuwa wazuri zaidi kuliko jinsi sisi wenyewe tulivyo. Tunapojitahidi kuwa wazuri zaidi kuliko jinsi sisi wenyewe tulivyo, kila kitu katika maisha yetu kinakuwa kizuri hali kadhalika.", inadhihirisha kikamilifu tabia ambayo bibi yangu (Martha Maregesi) alijitahidi kuwa nayo katika kipindi cha maisha yake yote. Alikuwa mtu mwenye furaha sana. Alikuwa na tabasamu lenye kuambukiza ambalo marafiki na familia yake hawakuweza kujizuia kutabasamu pia alipofurahi nao. Pamoja na kwamba alikumbana na matatizo mengi na bahati mbaya nyingi katika maisha yake, alijulikana kama mtu mwenye upendo na uvumilivu mkubwa.””

Enock Maregesi

About This Quote

The passage praises striving to be better than one’s current self, highlighting optimism, resilience, and love despite hardships.

In simple terms: Strive to improve yourself and stay hopeful despite challenges.

Key Takeaway

Embrace growth and kindness.

Themes

self-improvement optimism resilience love

Mood

hopeful inspirational

Type

narrative testimonial

When to use this quote

  • overcoming adversity
  • building relationships
  • maintaining positivity

Key Concepts

personal development emotional intelligence gratitude

Questions to Reflect On

  • How can you cultivate resilience in tough times?
  • What small actions reflect kindness daily?
A Different Perspective

May overlook systemic factors that affect well‑being.

4.0 out of 5 (5 ratings)

More by Enock Maregesi

Explore all 471 Enock Maregesi quotes

More Attitude quotes

Browse all 9,543 Attitude quotes