“Kinachotokea leo kitatuathiri kesho. Mbegu tunazopanda sasa ni mazao ya msimu ujao.” — Enock Maregesi Inspirational Copy Share Image
“Wasifu wa viongozi wa Kolonia Santita ni siri kwa sababu siri ni siri ya mafanikio.” — Enock Maregesi Kolonia Copy Share Image
“Tumaini lina nguvu kuliko woga… Usisimame. Endelea kutembea.” — Enock Maregesi Don-t-give-up Copy Share Image
“Nimewapa watoto wangu kila kitu katika maisha isipokuwa umaskini. Lakini bado wamenishinda.” — Enock Maregesi Calculated-freedom Copy Share Image
“Tusipambane na madawa ya kulevya peke yake. Tupambane na elimu ya madawa ya kulevya pia.” — Enock Maregesi Drug addiction Copy Share Image
“Kufanya kosa huku ukijua ni kosa ni kujiombea jela mwenyewe.” — Enock Maregesi Inspirational Copy Share Image
“Lolote unalolifikiria yupo mtu mahali fulani duniani ameshalifikiria.” — Enock Maregesi Anything Copy Share Image
“Ukimpenda mtu, akakushukuru kutoka katika sakafu ya moyo wake, hata ukifa utaendelea kuishi.” — Enock Maregesi If you love someone Copy Share Image
“Tengeneza maisha ya mwanao kwa kuongea naye maneno mazuri anapokuwa tumboni mwako, na anapokuwa ananyonya akikuangalia machoni.” — Enock Maregesi Good words Copy Share Image
“Maombi yako yasipojibiwa usikate tamaa, Mungu alishakusikia na tayari alishaandaa malaika wa kukuletea jibu. Jibu wakati mwingine huchelewa kufika kwa sababu ya… — Enock Maregesi Angel Copy Share Image
“Ukitaka kuwa mfanyabiashara mzuri wa madawa ya kulevya usitumie madawa ya kulevya. Siri ya mafanikio ya Kolonia Santita ni nidhamu na kitalifa.” — Enock Maregesi Allegiance Copy Share Image
“Mahatma Gandhi alipigwa risasi na kufariki dunia baada ya maisha yake kumfelisha. Lakini kifo chake kiliipatia India uhuru kutoka Uingereza. Hivyo, akafanikiwa.” — Enock Maregesi Bullet Copy Share Image
“Anayesema fulani ni mwanachama wa chama cha siri cha kusaidiana cha wajenzi huru ana hakika? Haya mambo ni siri. Amejuaje? Kumbuka, usiamini,… — Enock Maregesi Freemasons Copy Share Image
“Nilijitolea sehemu ya maisha yangu ya kijamii na kifamilia kuweza kuchapisha Kolonia Santita katika kiwango nilichokitaka.” — Enock Maregesi Family Copy Share Image
“Kama huna mama, kama mama yako alishafariki, au kama yupo lakini hakujali, hata kama baba yako yupo au hayupo, mafanikio yako yatatokana… — Enock Maregesi Baba Copy Share Image
“Wananchi wakiamua kufanya kitu katika nchi yao kwa asilimia 100 serikali, na taasisi zake zote, haitaweza kuwazuia. Kwa sababu, mamlaka ya wananchi… — Enock Maregesi 100 Copy Share Image
“Jicho ni kiungo cha ajabu zaidi kuliko viungo vyote katika mwili wa mwanadamu baada ya ubongo. Jicho moja linatengenezwa na viungo vidogovidogo… — Enock Maregesi Bad Copy Share Image
“Kwa nini Biblia imejaa mafumbo? Biblia imejaa mafumbo kwa sababu akili za watu bado hazijakomaa kuupokea ukweli. Yesu na waandishi wote wa… — Enock Maregesi Bible Copy Share Image
“Adam Kuambiana umerudi nyumbani ulikotoka, ukiongozwa na imani na mwanga wa wale uliowapenda na kuwapoteza. Hatuwezi kukumbuka kwamba umetutoka bila kukumbuka kwamba… — Enock Maregesi Actor Copy Share Image
“Marafiki zako wa mwanzo ambao bado ni marafiki zako mpaka sasa ni wazuri kuliko wote kutokana na sababu mbalimbali: Wamekuwepo pamoja nawe… — Enock Maregesi Best Copy Share Image
“Hakuna shaka yoyote (kwa mfano) kwamba mboga za majani na matunda vina vitamini nyingi mwilini na madini na vitu vyote vizuri katika… — Enock Maregesi Binadamu Copy Share Image
“Sina jinsi. Nguzo ya maisha yangu ni historia ya maisha yangu. Historia ya maisha yangu ni urithi wa watu waliojifunza kusema hapana… — Enock Maregesi Choice Copy Share Image
“Ujanja wote ulimwisha Murphy. Ilimbidi kutoboa siri ili adui asizidi kumuumiza. Alilaumu mno kufa wakati alishakula ng’ombe mzima. Alifikiri Mogens na Yehuda… — Enock Maregesi Adui Copy Share Image
“Kamishna … karibu," alisema Nafi huku akisimama na kutupa gazeti mezani na kuchukua karatasi ya faksi, iliyotumwa. "Ahsante. Kuna nini …" "Kamishna,… — Enock Maregesi Chuo Copy Share Image