Hekima Quote by Enock Maregesi Download Open image ““Heshima hujengwa kwa hekima, haijengwi kwa misuli.”” — Enock Maregesi ★ ★ ★ ★ ★ 3.3 out of 5 (8 ratings) Copy quoteShare Hekima Heshima Muscles Respect Wisdom
“Heri kuogopwa kuliko kupendwa kama huwezi kuogopwa na kupendwa kwa wakati mmoja.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kuna tofauti kati ya hekima na maarifa. Unaweza kuwa profesa ukawa mpumbavu, unaweza kuwa gumbaru ukawa na hekima.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Maombi yako yasipojibiwa usikate tamaa, Mungu alishakusikia na tayari alishaandaa malaika wa kukuletea jibu. Jibu wakati mwingine huchelewa kufika kwa sababu ya nguvu za… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Shetani akikupa hela chukua. Hiyo hela ameiiba kutoka kwa Baba. Ukishaichukua, toa zaka.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu ni mwingi wa hekima, lakini kwa nini alimuumba Shetani? Kwa sababu, Shetani wakati mwingine ni hekima. Ukiendelea kupigwa, bila wewe kupiga, unaweza kuumia,… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ukitaka watu wakuheshimu usitumie mabavu. Tumia hekima. Maana, watu hawaheshimu wewe ni nani au unatoka wapi, wanaheshimu nguvu ya matendo yako. Kama una tatizo… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Watu wanapokuwa katika migogoro maisha yao hutakiwa kurahisishwa. Kuna ukingo mwembamba kati ya uzima na wazimu.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Hekima ni fikra inayotoka moyoni, busara ni hekima inayozungumzwa.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ukitaka kuleta mabadiliko katika dunia huna budi kubadilika wewe kwanza. Ukibadilika ukawa mwema katika jamii yako umeleta mabadiliko katika dunia.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Watu wenye ujuzi au vipaji wanatakiwa kwenda shule kusomea ujuzi au vipaji vyao – kwa miezi mitatu au sita angalau.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu akikubariki kipaji chako watu watasema ni laana. Maisha yako ni sawa na mto. Unakoelekea ni baharini. Lakini sasa umefika kwenye mlango wa bahari.… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ningependa kujitokeza leo kutoa salamu zangu za rambirambi kwa Watu wa Musoma; kutokana na ajali mbaya ya mabasi ya J4 Express, Mwanza Coach, na… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu hutumia watu 'wajinga' na 'wapumbavu' kufanya mambo makubwa katika maisha yao na ya watu wengine. Katika Biblia, Musa aliitwa mjinga alipokiuka amri ya… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mwandishi lazima awe msomaji wa kila aina ya maandishi anayoweza kusoma. Akipanua upeo wake namna hiyo, kila atakachoandika kitaacha nukuu.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Heri kuwa maskini mwenye pesa nyingi kuliko tajiri mwenye mifuko iliyotoboka.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Unapokutana na mtu, kisha mtu huyo haoneshi dalili yoyote ya kutaka kusalimiwa; je, anataka umsalimie au usimsalimie? Ndugu yangu, onesha lugha ya mwili kuonesha… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Nafasi yako peponi itapotea iwapo utamruhusu Pluto (kiongozi wa ahera) akukaribishe bazarai (makao makuu ya ahera) kwa kuchukua maisha yako mwenyewe. Kujiua ni kujipenda… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu ana mpango na maisha ya kila mtu hapa duniani bila kujali dini, jinsia, kabila, rangi, taifa, au umri, na kila mtu ni wa… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mfalme Sulemani alikuwa mtu mwenye hekima kuliko wote ulimwenguni. Anatushauri, “Adui yako akiwa ana njaa, mpe chakula; Tena akiwa ana kiu, mpe maji ya… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Aidha, tunaweza kupata inkishafi kutokana na asili ya miili yetu, matukio fulani ya wakati ujao yana asili yake katika ndoto za binadamu. Ndoto hizo… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu hatakubali kuwa na mtu katika ufalme wake ambaye hatakubali kutawaliwa naye. Usikubali kutawaliwa na Ibilisi, kubali kutawaliwa na Mungu. Ni jukumu letu kuanza… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mwenye hekima huzungumza kilicho na maana! Kinaweza kuwa kizuri au kibaya.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu ni mwingi wa hekima, lakini kwa nini alimuumba Shetani? Kwa sababu, Shetani wakati mwingine ni hekima. Ukiendelea kupigwa, bila wewe kupiga, unaweza kuumia,… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Hekima ni fikra inayotoka moyoni, busara ni hekima inayozungumzwa.” — Enock Maregesi Copy Share Image