“Maendeleo ya mtu yatatokana na juhudi za mtu mwenyewe.” — Enock Maregesi Development Copy Share Image
“Ukiipenda sana nchi yako ni rahisi sana kuichukia serikali yake!” — Enock Maregesi Bureaucracy Copy Share Image
Mwalimu Julius Nyerere was a father to his family. To Tanzania he was a guardian of a dream. — Enock Maregesi Dreams Copy Share Image
“Heri kuwa maskini mwenye pesa nyingi kuliko tajiri mwenye mifuko iliyotoboka.” — Enock Maregesi Extravagance Copy Share Image
“Kujenga urafiki na wanasiasa wakati mwingine ni kitu kizuri. Wanasaidia kurahisisha mambo.” — Enock Maregesi Building Copy Share Image
“Ukiwapa watoto wako uhuru wa shaghalabaghala au uhuru wa kila kitu watajisahau! Wape uhuru wa mahesabu.” — Enock Maregesi Calculated-freedom Copy Share Image
“Two plus two is not sometimes equal to four! It is equal to four plus one, for one is a powerful amalgamation.” — Enock Maregesi Amalgamation Copy Share Image
“Sifa kubwa ya Murphy ni udadisi lakini kubwa zaidi ni unyamaume. Haogopi kitu. Anaheshimu sheria.” — Enock Maregesi Informational Copy Share Image
“Mtu akikutukana mwambie asante au samahani. Asante au samahani vina nguvu kuliko kuomba (asikutukane) au kutukana.” — Enock Maregesi Affront Copy Share Image
“Tukio la Yesu kufa, kufufuka na kupaa kwenda mbinguni bila mabawa ni tukio kubwa kuliko yote yaliyowahi kutokea katika historia ya ulimwengu… — Enock Maregesi God exists Copy Share Image
“Watu wengi tu vipofu wa kiroho! Ili tupone lazima tumtii na kumwamini Yesu Kristo, kama Yesu alivyomponya yule kipofu wa Siloamu kwa… — Enock Maregesi Jesus christ Copy Share Image
“Ukiwa na Yesu hutaishi kwa kutegemea rushwa, bali utaishi kwa kutegemea sheria. Ukiishi kwa kutegemea rushwa, rushwa itaishi kwa kukutegemea wewe.” — Enock Maregesi Corruption Copy Share Image
“Wafundishe watoto wako uaminifu, adabu na jinsi ya kuishi vizuri na watu, ili waaminike, waheshimike na waishi vizuri na watu.” — Enock Maregesi Adabu Copy Share Image
“Isipite siku hata moja katika maisha yako bila kusema hata kimoyomoyo kwa wazazi wako na kwa watu wote wanaokupenda kwamba unawapenda, kwani… — Enock Maregesi Day Copy Share Image
“Mzazi hamjui mtoto wake na mtoto hamjui mzazi wake. Kila mtu hapa duniani ni wa kipekee na wanasayansi wanatuambia kuwa tuko peke… — Enock Maregesi Child Copy Share Image
“Lengo la jina la kitabu ni kuishawishi hadhira kusoma dibaji, na lengo la dibaji ni kuishawishi hadhira kusoma salio la kitabu kizima.” — Enock Maregesi Audience Copy Share Image
“Kabla hujapona matatizo yanayokusumbua ponya roho yako kwanza, kabla hujakwenda kwa mchungaji, roho yako inajua kila kitu katika maisha yako.” — Enock Maregesi Life Copy Share Image
“Majina ya vitabu yanapaswa kuchaguliwa kwa mantiki na kwa makini ya hali ya juu mno, kwa sababu ni miongoni mwa vitu vya… — Enock Maregesi Audience Copy Share Image
“Ukiona kitu ambacho hukupaswa kuona, au ukisikia kitu ambacho hukupaswa kusikia, fumba macho kwa kuyakodoa! Ulichokiona au kukisikia usikiseme leo na hata… — Enock Maregesi Close-eyes Copy Share Image
“Usiingilie mambo ya mtu mwingine bila kibali kutoka kwa Mungu. Kuingilia mambo ya mtu mwingine bila kibali kutoka kwa Mungu ni dhambi.… — Enock Maregesi Dhambi Copy Share Image
“Mnamo mwaka 1957 Rais David Eisenhower wa Marekani (inasemekana) alipewa taarifa usiku mmoja akiwa Washington, D.C., kuhusu chombo cha ajabu kilichoanguka kwenye… — Enock Maregesi Aliens Copy Share Image
“Kilometa mbili na ushei kidogo kutoka katika sanamu la Yesu Mtoto liitwalo Niñopa, katika Kanisa la Parokia ya Manispaa ya Xochimilco ('Sochimiliko')… — Enock Maregesi Attorney general Copy Share Image
“Kipo kitu kinaendelea kufanyika katika siku zetu za furaha na katika siku zetu za huzuni kwa kila mmojawetu hapa duniani bila ya… — Enock Maregesi Air Copy Share Image
“Shetani naye anamtumia Mungu kama wakala wake wa kutoa adhabu kwa binadamu kwa sababu Shetani siku hizi anaishi makanisani na misikitini. Anamtumia… — Enock Maregesi Adhabu Copy Share Image
“Kuna nguzo saba ambazo hazina budi kuzingatiwa kama unataka kuheshimiwa na kuwaheshimu wengine. Kwanza kabisa jitambue: wewe ni nani na unafanya nini… — Enock Maregesi Accuracy Copy Share Image