“Hutaweza kumiliki watu bila damu ya Mwanakondoo.” — Enock Maregesi Blood-of-the-lamb Copy Share Image
“Mungu hababaishwi na matatizo yako. Anababaishwa na imani yako.” — Enock Maregesi Faith Copy Share Image
“Mungu anataka tuwe na mtazamo wa ‘kila kitu kinawezekana juu ya jua’ na si ‘kila kitu kinawezekana chini ya jua’.” — Enock Maregesi God Copy Share Image
“Mtu akikutukana mwambie asante. Akikupiga mwambie asante. Akiendelea kukupiga, pigana.” — Enock Maregesi Appreciations Copy Share Image
“Hutaweza kufikia malengo yako kikamilifu bila msaada wa wataalamu – Hata kama una kipaji au ujuzi kiasi gani.” — Enock Maregesi Dreams Copy Share Image
“Watu wakikuonyesha tabia zao za ndani kabisa waamini. Wanajijua vizuri zaidi, kuliko unavyowajua.” — Enock Maregesi Behaviour Copy Share Image
“Serikali inayodhulumu wananchi wake ni hatari kuliko simba.” — Enock Maregesi Allegiance Copy Share Image
“Debbie alikuwa akimwangalia Murphy kama paka anavyoangalia maziwa.” — Enock Maregesi Cat Copy Share Image
“Endeleza nafsi yako katika kujitegemea, kwani ukishaifundisha nafsi yako kujitegemea hutamtegemea mtu.” — Enock Maregesi Independence Copy Share Image
“Kutoka nyumbani kwako hadi kazini kwako na kutoka kazini kwako hadi nyumbani kwako, umeepuka wastani wa mitego 10,000 ya Shetani! Kuwa na… — Enock Maregesi Engel Copy Share Image
“Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa baba kwa familia yake. Kwa Tanzania alikuwa mlezi; wa ndoto ya haki, amani, uzalendo, ujamaa, na uhuru.” — Enock Maregesi African-socialism Copy Share Image
“Unapotenda wema kwa mtu au kitu huwezi kujua ni kitu gani kizuri au kibaya kitatokea kwako au kwa mtu mwingine baadaye kupitia… — Enock Maregesi Bad Copy Share Image
“Ukitenda mema lazima utalipwa mema, ama unajua au hujui, na ukitenda mabaya lazima utalipwa mabaya, ama unajua au hujui.” — Enock Maregesi Evil Copy Share Image
“Hata kama umetajirika kiasi gani mpe Mungu kipaumbele cha kwanza katika kila jambo unalofanya. Toa zaka na sadaka na jitolee katika mambo… — Enock Maregesi First priority Copy Share Image
“Heri kuishi kama maskini mwenye pesa nyingi kuliko tajiri mwenye mifuko iliyotoboka, kuliko kusema mbele za watu kwamba pesa haijakupa furaha. Wengi… — Enock Maregesi Economist Copy Share Image
“Ukitaka kuleta mabadiliko katika dunia huna budi kubadilika wewe kwanza. Ukibadilika ukawa mwema katika jamii yako umeleta mabadiliko katika dunia.” — Enock Maregesi Change Copy Share Image
“Ukitaka watu wakuheshimu usitumie mabavu. Tumia hekima. Maana, watu hawaheshimu wewe ni nani au unatoka wapi, wanaheshimu nguvu ya matendo yako. Kama… — Enock Maregesi Brute Copy Share Image
“Kuna mambo yanatokea hapa ulimwenguni ambayo yanafanya nikiri uwepo wa Mungu kwa asilimia kubwa. Wanasayansi wanasema ulimwengu ulianzishwa na mlipuko wa ‘Big… — Enock Maregesi 14-billion-years-ago Copy Share Image
“Shetani hataacha kukuandama. Atakuandama mpaka siku utakapookoka. Yaani, siku utakapookolewa na Yesu Kristo, siku ambapo Shetani hatakuwepo tena. Silaha kuu tunayotakiwa kuwa… — Enock Maregesi Day Copy Share Image
“Siri ya mafanikio yako ni chumba chako. Dali linasema anga ndicho kipimo cha kufikiria; Dirisha linasema utazame nje uone fursa zilizopo ulimwenguni;… — Enock Maregesi Bed Copy Share Image
“Ndugu zangu, malaika wanatulinda. Wako katikati ya maadui zetu na sisi. Hatujui ni mara ngapi malaika wameingilia kati kuokoa maisha yetu, kutuepusha… — Enock Maregesi Brethren Copy Share Image
“Kuwa tajiri si kazi rahisi. Ukipata milioni ya kwanza utataka nyingine kulinda hiyo ya kwanza. Ukipata ya pili utataka mbili zingine kulinda… — Enock Maregesi Poor Copy Share Image
“Mpenzi. Sikiliza. Magaidi yaliyomuua Marciano yana mtandao dunia nzima na watu wote wanayajua. Yanaitwa Kolonia Santita. Tatizo hata hivyo ni moja: Hakuna… — Enock Maregesi Debbie-patrocinio-abrego Copy Share Image
“Usalama wa Taifa ni akili si ukali. Kazi yake, au wajibu wake; ni kukusanya, kuchanganua, kudurusu na kuunganisha kwa makini, taarifa nyeti… — Enock Maregesi Inspirational Copy Share Image
“Sigara zilizidi kuvutwa, ndani ya nyumba, na magaidi wale wawili, wakati Murphy akisinzia kudanganyia kama kweli nguvu zilishamwisha. Alimfikiria tena mpenzi wake… — Enock Maregesi Cigarette Copy Share Image
“Kafara ya maombi ni kushukuru wakati wa matatizo. Kushukuru kuna nguvu kuliko kuomba.” — Enock Maregesi Give up Copy Share Image
“Mungu haamui jinsi watu wanavyoamua. Mtu akikwambia huna kipaji muulize yeye ni nani.” — Enock Maregesi God Copy Share Image
Addiction isn't about using drugs. It's about what the drug does to your life. — Enock Maregesi Addiction Copy Share Image