“Mwalimu Julius Nyerere was a father to his family. To Tanzania he was a defender of a dream.” — Enock Maregesi Dreams Copy Share Image
“Nitajisikia raha sana kufungwa kwa ajili ya matatizo watu.” — Enock Maregesi Heroism Copy Share Image
“Watu wanahitaji elimu na ajira kuwaepusha na janga la madawa ya kulevya.” — Enock Maregesi Children Copy Share Image
“Mtu aliyepoteza kila kitu katika maisha yake ana uwezo wa kufanya chochote.” — Enock Maregesi Capability Copy Share Image
“Kitu cha kwanza kufanya kama umeamua kuficha ukweli wape watu ukweli mwingine kulinda thamani ya utu wako.” — Enock Maregesi Respect Copy Share Image
“Mwenye hekima huzungumza kilicho na maana! Kinaweza kuwa kizuri au kibaya.” — Enock Maregesi Bad Copy Share Image
“Kinachosababisha tupambane na Mungu ni matatizo, ambayo huletwa na watu, na tunapambana kwa silaha ya uongo.” — Enock Maregesi God Copy Share Image
“Mungu hataki tuwe maskini, kwani fedha na dhahabu ni mali yake. Anachotaka kutoka kwetu, zaka.” — Enock Maregesi God Copy Share Image
“Matatizo ya kijamii, kimiiko, kimaadili, kisiasa, na kiroho; hayataweza kutatuliwa kwa pesa, vikao vya kifamilia, haki za binadamu, usalama wa taifa, au… — Enock Maregesi Almighty god Copy Share Image
“Migogoro inatokea kwa sababu watu wameshindwa kuheshimiana. Ukijiheshimu na ukaheshimu wengine; utaacha dunia katika hali nzuri kuliko ulivyoikuta, wakati ukiingia.” — Enock Maregesi Inspirational Copy Share Image
“Imani ni nia ya kujua kisichoweza kujulikana na hupeleka watu kwenye ukweli. Kuamini hupotosha, na ni nia ya kudharau kinachoweza kujulikana.” — Enock Maregesi Believe Copy Share Image
“Wazazi wetu ni watu wa kuheshimu kuliko kitu chochote. Wanaweza kuona tusipoweza kuona – nyuma na mbele ya tarehe zetu za kuzaliwa.” — Enock Maregesi Respect Copy Share Image
“Tajiri asiyesoma lakini anayejali mambo ya ufalme wa Mungu kuliko anavyoijali dunia au yule aliyesoma lakini anayejali mambo ya ufalme wa Mungu… — Enock Maregesi Dunia Copy Share Image
“Adui wa msalaba ni yule anayeipenda dunia badala ya Mungu, na rafiki wa msalaba ni yule anayempenda Mungu badala ya dunia.” — Enock Maregesi Adui Copy Share Image
“Iwapo kila mtu atamheshimu mwenzake kama anavyojiheshimu mwenyewe; tunaweza kuishi mbinguni duniani ... lakini kwanza tuwe na maarifa binafsi.” — Enock Maregesi Inspirational Copy Share Image
“Baada ya Adam na Hawa kutenda dhambi katika bustani ya Edeni, kila mtu anayezaliwa anazaliwa katika dhambi. Kwa hiyo dhambi hutokana na… — Enock Maregesi Adam Copy Share Image
“Kama damu haina maana kwa nini Mungu anaipenda? Kama damu haina maana kwa nini Shetani anaipenda? Mungu ni roho, Shetani ni roho,… — Enock Maregesi Blood Copy Share Image
“Lazima kuna mtu, si kitu, mwenye akili ya kupindukia, aliyeanzisha kila kitu kinachoonekana ulimwenguni. Mwaka 1995 wanasayansi waligundua kitu kilichowashtua kuliko kitu… — Enock Maregesi 1995 Copy Share Image
“Nimebadili utaratibu wangu siku hizi kutokana na maadili ya watoto wetu. Siongei na watoto wangu kuhusu Mungu. Naongea na Mungu kuhusu watoto… — Enock Maregesi Doctrine Copy Share Image
“Kamera ina athari kubwa sana katika maisha yetu. Inaweza kuharibu taswira ya mtu mbele ya jamii, na inaweza kuharibu maisha ya mtu… — Enock Maregesi Artists Copy Share Image
“Kabla ya uasi, Mungu alimpa Shetani na wasaidizi wake ambao ni mapepo mamlaka makubwa juu ya kila kitu hapa duniani; kuanzia angahewa… — Enock Maregesi Atmosphere Copy Share Image
“Wewe kuingilia mambo ya John ni sawa na kusema, ‘Mungu umeshindwa hebu ngoja na mimi nijaribu; ngoja niingilie kati kukusaidia juu ya… — Enock Maregesi Dhambi Copy Share Image
“Ndoto za wachawi ni tofauti kidogo na ndoto takatifu. Wachawi wanapokuwa hawahitaji kusafiri kutoka sehemu moja kwenda nyingine, lakini wana hamu ya… — Enock Maregesi Agreement Copy Share Image
“Wakiwa na suti nzito za kijani na madoa meusi (‘Ghillie Suits’) kwa ajili ya kupigania porini; Vijana wa Tume walikuwa na kofia… — Enock Maregesi Bullets Copy Share Image