“Ijapokuwa maombi ya sifa yana nguvu kuliko maombi ya kushukuru, kushukuru kuna nguvu kuliko kuomba.” — Enock Maregesi Appreciations Copy Share Image
“Je, ni kweli kwamba dunia itaisha mwezi huu tarehe 29? Hakuna ajuae, tujiandae.” — Enock Maregesi Dunia Copy Share Image
“Behave professionally and let any bad feelings out of life!” — Enock Maregesi Bad feelings Copy Share Image
“Tuko peke yetu ulimwengu mzima halafu bado tunagombana na kudharauliana!” — Enock Maregesi Alone Copy Share Image
“Kuzaliwa na kuishi ni mibaraka mikubwa ya Mwenyezi Mungu kuliko yote duniani.” — Enock Maregesi Almighty Copy Share Image
“Shetani ni profesa wa saikolojia! Lakini, ukiwa msiri, hatakupata.” — Enock Maregesi Confidant Copy Share Image
“Watu wenye ujuzi au vipaji wanatakiwa kwenda shule kusomea ujuzi au vipaji vyao – kwa miezi mitatu au sita angalau.” — Enock Maregesi People Copy Share Image
“Imani huchukua miaka mingi kuijenga lakini sekunde chache kuibomoa.” — Enock Maregesi Build Copy Share Image
“Maisha yangu ni darasa. Jifunzeni kutokana na maisha yangu, jifunzeni kutokana na sifa zangu za ushupavu, jifunzeni kutokana na sifa zangu za… — Enock Maregesi Classroom Copy Share Image
“Unaweza kusaliti nchi kwa sababu za kiitikadi, kisiasa, matatizo ya akili, au pesa. Ukifanya hivyo na ukabainika; utawajibika kwa adhabu ya kifo,… — Enock Maregesi Betrayal Copy Share Image
“Hatumtaki kiongozi anayeishi katika mifuko ya mafisadi, tunamtaka kiongozi anayeishi katika ibara za katiba ya nchi. Kitambi bila Yesu ni jipu.” — Enock Maregesi Boil Copy Share Image
“Ukifanya maamuzi kubaliana na matatizo yake yote. Fanya kile ulichosema utafanya, hata kama sehemu ya kile ulichosema utafanya uliinukuu kutoka kwa wengine,… — Enock Maregesi Agreed Copy Share Image
The best prize life has to offer is not a chance to work hard and be something in the community. It is… — Enock Maregesi Community Copy Share Image
“Wanasayansi wanasema hakuna Mungu kwa sababu hawawezi kumwona wala kumgusa. Lakini nao hawana akili kwa sababu hawawezi kuiona wala kuigusa.” — Enock Maregesi Akili Copy Share Image
“Kuna siku mbili tu za muhimu zaidi katika maisha yako kama alivyosema Mark Twain: Siku uliyozaliwa na siku uliyojua kwa nini ulizaliwa.… — Enock Maregesi Maisha-yako Copy Share Image
“Matatizo tunayopitia si matatizo kwa ukuaji wetu. Mungu hafanyi hivyo eti kutukomoa. Anafanya hivyo kwa faida yetu ya baadaye.” — Enock Maregesi God Copy Share Image
“Lakini ukweli ni upi? Ukweli ni kwamba utajiri una changamoto nyingi kuupata na kuudumisha pia kuliko usomi na kwamba ukweli ni amani… — Enock Maregesi Abraham Copy Share Image
“Ghillie ni mavazi yaliyotumiwa na makomandoo wa Tume ya Dunia ya Kudhibiti Madawa ya Kulevya (Frederik Mogens, Radia Hosni, Daniel Yehuda na… — Enock Maregesi Benson-bennett Copy Share Image
“Mwili wako una uwezo wa kujua kabla yako kitakachotokea baadaye. Kama una njaa kwa mfano, mwili wako utakwambia. Kama una kiu, mwili… — Enock Maregesi Alamu Copy Share Image
“Pesa itolewe kwa masharti au bila masharti chukua, kwani huyo aliyeitoa si yake. Benki, kwa mfano, ikitaka kukupa mkopo itakuwa na masharti… — Enock Maregesi Alms Copy Share Image
“Mungu alikuumba miaka mingi kabla hujazaliwa. Ndani ya roho yako kulikuwa na mpango mkuu wa Mungu juu ya maisha yako katika kipindi… — Enock Maregesi Alive Copy Share Image
“Boresha maisha ya watu kwa kadiri utakavyoweza. Ukisaidia mtu 1 watahurumiwa watu 10. Ukisaidia watu 10 watahurumiwa watu 100. Ukisaidia watu 100… — Enock Maregesi All Copy Share Image
“Sasa litambua hili: ushindi ni lazima kwa sababu Daudi wetu Yesu Kristo ameshamshinda Goliati wao Shetani. Amemshinda ili aishi ndani yetu na… — Enock Maregesi Jesus christ Copy Share Image
“Mwanamke mwenye umri wa miaka arobaini na mbili na kuendelea anafaa kuolewa kama ni mjane na ataweza kuwapenda watoto wako kama mama… — Enock Maregesi Children Copy Share Image
“Siwaogopi wenye dhambi ndiyo maana ninawafundisha ukweli.” — Enock Maregesi Sinners Copy Share Image